Usalama wa taifa=Usalama wa CCM=Maangamizi kwa Upinzani

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
wana JF. Kuna article moja nimesoma kuwa usalama wa taifa wamesomea zaidi jinsi ya kudhibiti upinzani nchini zaidi ya jinsi ya kulinda usalama wa taifa. Wapinzani wawe makini sana na simu zao, makazi yao, mipango yao, na maisha yao. Usalama wa taifa ndo chanzo cha kuua democrasia na kukandamiza haki tanzania. Tuwe waangalifu na mtu yeyote anayeitwa usalama wa taifa, yupo zaidi wa maslahi yake mwenyewe na kuilinda ccm pamoja na wezi wake
 
I hate them,wangesaidia kuokoa rasilimali za taifa but wamekua mbwa wa watawala,na visut vyao
 
Mimi wala siwaogopi sana maana hawa jamaa ni mbumbumbu kupita maelezo. Si wanapeana ajira kwa kujuana badala ya kuangalia uwezo wa mtu.

Wakati nchi kama Marekani Technology inaanzia vyombo vya usalama kama Department of Defence DoD kwetu Technology inaanzia kwa Wahindi. Hawa jamaa wa usalama wa taifa wala hawapo kabisaaa...

By the way, kuwaita "Intelligence" kwa hapa Tanzania ni makosa makubwa kabisa ... bado Technologia waliyo nayo ni ya simu ya upepo ...
 
mhmmmmh kwa tz bado wapo hao watu? mi nadhani hicho kikosi kilishafutwa waliopo wanatumia jina tu, coz wote wanakadi za magamba! na mbaya zaidi kwa historia ya tz wanaonekana kuwa ni watu ambao wapo against wote wanaopinga mabaya yanayofanywa na sirikali, au wale wanaozijua siri za sirikali! ( kumbuka tz hakuna serikali)
 
Back
Top Bottom