Usalama wa mabasi ya abiria.

king kan

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,629
2,043
Wadau nilikuwa natoka dsm kuelekea mikoa ya kanda ya ziwa tulipofika kahama tukalala pale ili asubuhi ndio tuendelee na safari. Kwa kuwa nilikuwa mgeni nikaamua kulala kwenye basi pamoja na abiria wengine. Usiku mara abiria wakaanza kulalamika kuwa kwenye mabasi kuna kunguni (pamoja na abiria wa mabasi mengine yaliyokuwa pembeni yetu). Tatizo hili ni la mabasi haya yaendayo Bukoba, Kigali na Bujumbura au ni common na kwa mabasi ya route nyingine pia? Naomba kuwasilisha.
 
Tanzania tunapenda sana kulalamikia sehemu ambazo hatuwezi kusaidiwa. Tiketi unayo na ina anwani ya mmiliki. Mpigie mmiliki mwambie ayapulizie dada ya kuua wadudu magari yake. Pia hapo stendi pana trafiki, mwelezeni kuwa gari ni chafu, lisiondoke hadi lipigwe dawa.
 
Back
Top Bottom