Usalama na mkeo

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Ukitaka usalama na mkeo usiulize idadi ya rafiki zake wa kiume kabla ya ndoa.
Akijipodoa usimtazame na akimaliza umsifie.
Mpe fedha kwenda dukani lakini usifuatane naye.
Ukinunua nyama usihesabu vipande vya hiyo nyama.

(source: 'Jungu kuu halikosi ukoko',kitabu hiki kimeandikwa na Balozi Christopher Liundi,a very interesting book!)
 
Ndoa hazianaga formula bwana Bishanga..wewe muulize tu kapigwa na wanagapi??Hii itakusaidia kujua kina cha bahari unayoogelea!!
Muangalie tu anapojipodoa..fuatana naye tu..
Ila vipande vya nyama usihesabu..ni sooo...
 
Ila mkuu kumotazama anavyojiremba ni muhimu bana na uangalie alipozidisha make up zake umwambie si unatoka nae ndani amefanana na kinyago eti ndio umsifie
 
Yeah..kumwambia ni muhimu. Saa nyingine wanawake huwa wanajipodoa mpaka inatia kinyaa
 
Kwa the above ujumbe.... I concur with red...
 
Yeah..kumwambia ni muhimu. Saa nyingine wanawake huwa wanajipodoa mpaka inatia kinyaa

Umeona eehhh
Bora unaenda nae step by step katika kujipamba kwake na akimaliza unamwambia wazi hapa poda umezidisha au hii make up haijakaa vizuri badilisha
Maana utakapotoka nae na amechemsha kwenye hayo utaonekana wa ajabu wewe
 
inamaana akisema ametmbea na wanaume zaidi ya 20 utamwacha.
Kila swali lina jibu lake na matumizi ya hilo jibu..
mfano..kama ulitaka kujua idadi ya wanaume wake ili umuache..inawezekana ukamuacha manake 20 guyz!!.lol
.. Ila kama ulitaka kujua kwa nini hakuwa anadumu kwenye mahusiano ..pia itakusaidia that side..
Ni vema mkaulizana..yaan kama umemuuliza idadi ya wanaume zake..na wewe pia mtajie idadi ya wadada uliowahi toka nao..
 
Ukitaka usalama na mkeo usiulize idadi ya rafiki zake wa kiume kabla ya ndoa.
Akijipodoa usimtazame na akimaliza umsifie.
Mpe fedha kwenda dukani lakini usifuatane naye.
Ukinunua nyama usihesabu vipande vya hiyo nyama.

(source: 'Jungu kuu halikosi ukoko',kitabu hiki kimeandikwa na Balozi Christopher Liundi,a very interesting book!)
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mie hoi
 
Ndoa hazianaga formula bwana Bishanga..wewe muulize tu kapigwa na wanagapi??Hii itakusaidia kujua kina cha bahari unayoogelea!!
Muangalie tu anapojipodoa..fuatana naye tu..
Ila vipande vya nyama usihesabu..ni sooo...

Mkuu ile kitu ni barabara ya lami,gari likipita haliachi alama!
 
Ila mkuu kumotazama anavyojiremba ni muhimu bana na uangalie alipozidisha make up zake umwambie si unatoka nae ndani amefanana na kinyago eti ndio umsifie

unafiki kwenye ndoa muhimu kaka,hivi mkeo unaweza kumwambia 'ona ulivyojinenepea?' si patachimbika mzee?
 
Umeona eehhh
Bora unaenda nae step by step katika kujipamba kwake na akimaliza unamwambia wazi hapa poda umezidisha au hii make up haijakaa vizuri badilisha
Maana utakapotoka nae na amechemsha kwenye hayo utaonekana wa ajabu wewe

Sasa Rocky haya ya kujua upakaji poda sisi wanaume tutayajulia wapi? mi najioneaga sawa tu,sijui wenzangu,maana hata zinakouzwa sijui.
 
Kila swali lina jibu lake na matumizi ya hilo jibu..
mfano..kama ulitaka kujua idadi ya wanaume wake ili umuache..inawezekana ukamuacha manake 20 guyz!!.lol
.. Ila kama ulitaka kujua kwa nini hakuwa anadumu kwenye mahusiano ..pia itakusaidia that side..
Ni vema mkaulizana..yaan kama umemuuliza idadi ya wanaume zake..na wewe pia mtajie idadi ya wadada uliowahi toka nao..

kwa hiyo kwa mwanamke idadi ya 20 ni kubwa? kwa wanaume ni ngapi,maana kuna watu nawajua hata idadi ya wanawake waliotembea nao hawajui,could run into thousands,maana suppose mtu ambaye yuko kwenye 60's na alianza mambo haya akiwa kwenye 20's,kama kila wiki on avarage anabadili wanawake wawili that makes it wanawake mia moja kwa mwaka,times 40 ina maana at 60 keshalamba wanawake 4000! na hizo njemba zipo zinafahamika,si ajabu nyingine memba humu.
 
Sasa Rocky haya ya kujua upakaji poda sisi wanaume tutayajulia wapi? mi najioneaga sawa tu,sijui wenzangu,maana hata zinakouzwa sijui.

Hivi mkuu hujawahi kukutana na mwanamke barabarani ukamwamngalia ukajiuliza hivi kwake hakuna kioo
Maana make up alizojimwagia kama jini vile
Sasa wewe unamjua mkeo na uzuri wake na umeona kabisa uso umebadilika kawa kama kituko utaacha kumwambia kwa sababu hujui ( na wala hatujui) kuwa amezidisha poda
Mkuu mkeo unaujua uzuri wake na ukiona kuna kitu hakiko sawa lazima umwambie bana
 
Ukitaka usalama na mkeo usiulize idadi ya rafiki zake wa kiume kabla ya ndoa.
Akijipodoa usimtazame na akimaliza umsifie.
Mpe fedha kwenda dukani lakini usifuatane naye.
Ukinunua nyama usihesabu vipande vya hiyo nyama.

(source: 'Jungu kuu halikosi ukoko',kitabu hiki kimeandikwa na Balozi Christopher Liundi,a very interesting book!)

Mbona unatuchanganya. Usalama upi mbona mnaoa mwanamke aliyekwisha zaa na ana watoto. Huwa mnajiuliza huyo aliyezaa naye amemkamulia mara ngapi, na bado mnaoa. Hapo si unakuwa umeshajua wanaume zako waliokutangulia
 
Hivi mkuu hujawahi kukutana na mwanamke barabarani ukamwamngalia ukajiuliza hivi kwake hakuna kioo
Maana make up alizojimwagia kama jini vile
Sasa wewe unamjua mkeo na uzuri wake na umeona kabisa uso umebadilika kawa kama kituko utaacha kumwambia kwa sababu hujui ( na wala hatujui) kuwa amezidisha poda
Mkuu mkeo unaujua uzuri wake na ukiona kuna kitu hakiko sawa lazima umwambie bana

mkuu lakini kina mama wako sensisitive sana na mipasho,siku nyingine utanyimwa,lol!
 
Hii nakubaliana nayo kama ilivyo mzee wa Banana!
Pia kuna suala la simu yake... hahahaha ione kama kituo cha polisi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom