Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Oysterbay, Dar es Salaam, Rashid Omary, akisimamisha magari ili wanafunzi wenzake wavuke katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Oysterbay. Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamend Mpinga ameuzindua mfumo huo wa wanafunzi kujivusha wenyewe.(Picha na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi).
haya ni maendeleo si tendo la kubeza
Ya kawaida hayo mbona hata 1st world countries wanafanya mbona. Afadhali wanafunzi wenyewe wafanye wakiwekwa trafic wa bongo wataishia kuomba rushwa hata kusiko husika wataacha kufanya kazi waliyotumwa mimi naona ni sawa tu.