Usalama barabarani isiwe ajali barabarani

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Leo kwa macho yangu nimeshuhudia traffic akisimamisha gari la mbele yetu ghafla kiasi kama si gari yetu kutokuwa na brake nzuri basi jamaa tungemvaa
Mbaya zaidi uyu traffic amekaa kwenye kona na anapile up magari nadhani ajari ikitokea atakimbia tuu as haiingii akilini kusimamisha magari pale
Ni maeneo fulani kati ya kibaha na mlandizi
Jamani traffic tusiwe chanzo cha ajari na mambo ya kuvizia magari alafu unalisimamisha ghafla mtajasababisha maafa!
 
Mngeshuka mumchape makofi,,, lirais la nchi halijali tena nchi inaendaje..... Linasubiri watu wafe ili litume salam za rambirambi......
 
Nilikuwa na mpango wa angalau kuchukua nmba zake nimpelekee RTO maana hakutumia akili kabsaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom