usajiri wa kampuni

Mgengeli

Senior Member
Sep 23, 2011
193
13
Wana jamvi
Natafuta mtu au kampuni ya kuweza kunisaidia kusajiri kampuni yangu ya usafirishaji kwa njia ya barabara na kwenda nje ya nchi ili kupata nyaraka zifuatazo
1 certifecate of registration
2 Bussines Licence
Yeyote anayefahamu na anaweza kufanya kazi hii aniandikie kwenye PM akionyesha garama zake na muda wa kufanya iwe imekamirika
Nawatakia kila la heri
Mgengeli
 
Mkuu nakushauri hivi.
1, utapata mtu wa kukusaidia kufanya namba moja hapo juu, yaani kuregsta kampuni. Ishu ya leseni ni wewe mwenyewe unaenda kutafuta na hiyo haitolewi brela,

2. Lesini inategemea unataka kufanya hiyo biashara wapi, kama uko dar means utaenda kukata leseni huko jiji au manispaa moja wapo.

Na hata kuregsta kampuni c rahisi kama unavyo fikilia. Utapata watu wakukusaidia but razima wewe mwenyewe ukamilishe mambo yafuatayo.

1. Kusearch jina la kampuni
1. Memorundumu of asociation
2. Artical of asociation
3. Kujaza form mbali mbali zinazo onyesha mahali kampuni yako itakapo kuwa, majina ya madairecta wa kampni na adress zao, jina la katibu wa kampuni.

Hivi vitu unakamilisha mwenyewe theni ndo unawatafuta watu wa kuregster wakusaidie kuregster.
 
Wana jamvi
Natafuta mtu au kampuni ya kuweza kunisaidia kusajiri kampuni yangu ya usafirishaji kwa njia ya barabara na kwenda nje ya nchi ili kupata nyaraka zifuatazo
1 certifecate of registration
2 Bussines Licence
Yeyote anayefahamu na anaweza kufanya kazi hii aniandikie kwenye PM akionyesha garama zake na muda wa kufanya iwe imekamirika
Nawatakia kila la heri
Mgengeli

Nipigie 0767500049, nitakusaidia usipoteze hela zako. but nitakucharge kukuandalia Memorandum of Understanding na Article of Association tu, Lessen nitakusaidia free of charge pamoja na TIN number
 
Nipigie 0767500049, nitakusaidia usipoteze hela zako. but nitakucharge kukuandalia Memorandum of Understanding na Article of Association tu, Lessen nitakusaidia free of charge pamoja na TIN number

Kaka na mimi nimechukua namba yako (Nadhani hutajali) ili nikupigie mwanzoni mwa January 2012 unisaidie kwa hili..........
 
mnozya ufanye kweli ili wakutafutie soko,maana mtu mwingine anakuambia hivyo kisha ukisha mpatia hera tu anafanya kimoja vingine anakuambi siwezi.nawasiwasi na kwenye tin
 
Mie naweza kufanya yote hayo
1.Kukupatia Jina BRELA
2.Leseni ya Biashara
3.Nitakuandalia Memorandum & Article of association
4.Nitakufungulia Bank acc ya kampuni(Tsh& USD)
5.TIN Number

Ni PM,within two wEeks yote yanakamilika
 
Back
Top Bottom