Usajili

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Wanajamvi napenda tujadili hii mada kwa urefu na mapana.Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mfano wa vyama ivo ni Nccr-mageuzi,Chadema,Cuf,Ccm,Updp,Ppt-maendeleo na Dp.sasa je kama kungekuwa na uwezekana wa vyama ivi vya siasa kufanya usajili kama zifanyazo klabu za mpira ni wanasiasa gani wangesajiliwa kwenda upande mwingine wa vyama na ni wangapi wangeuzwa kwa mkopo?Nawasilisha
 
Back
Top Bottom