Usajili wa CHADEMA online umeanza rasmi

Adui ameishaiingilia online registration. ukiishaingia pale kama ukurasa wenyewe Anti virus inablock ile page

wataalamu wa ICT huko CDM rekebisheni mara moja

Quality
 
CCM wameshatia Zengwe ngoja niingie mzigoni kutoa hiyo threat kuna watu wame compromise hii websiten either kwa kutaka ku modify files katika hii site. So support team/webmasters wanatakia watoe hiyo kitu ili wadau tujisajili vinginevyo itakua kizazaa. Nachyowaomba mtumie gharama kuhimalisha security coz hii kitu ni sensitive. Mambo ya kutengeneza website kwa bei rahisi sio vizuri tuachieni sie tusio na maadui wa kutuhack.
 
attachment.php
 
Warning: Something's Not Right Here!
WEBSITE UNDER MAINTAINANCE: USAILI WA UANACHAMA WA TAWI LA CHADEMA ONLINE contains malware. Your computer might catch a virus if you visit this site.
Google has found malicious software may be installed onto your computer if you proceed. If you've visited this site in the past or you trust this site, it's possible that it has just recently been compromised by a hacker. You should not proceed, and perhaps try again tomorrow or go somewhere else.
We have already notified WEBSITE UNDER MAINTAINANCE: USAILI WA UANACHAMA WA TAWI LA CHADEMA ONLINE that we found malware on the site. For more about the problems found on WEBSITE UNDER MAINTAINANCE: USAILI WA UANACHAMA WA TAWI LA CHADEMA ONLINE, visit the Google Safe Browsing diagnostic page.

If you understand that visiting this site may harm your computer, proceed anyway.

Help improve detection of malware by sending additional data to Google about sites on which you see this warning. This data will be handled in accordance with the Safe Browsing privacy policies.
 
Nimefungua hivyo hivyo na ku ignore hii virus attack message imekubali na kuweza ku attach CV na kutuma.....ni setting tu za computer haina threat yoyote kwenye pc. Laptop yangu iko fresh tu na form imekuwa submitted.
 
TAWI??? na je kama ni Tawi la CDm online...nina haki ya kugombea uongozi, labda katika kata ya Musoma Nyasho wakati mimi nimejiunga Online?? Haki ya kuchagua kiongozi katika Chama inatakiwa katika maeneo gani??
 
Tabu sio chadema isipokuwa ni website host wao, labda hawakuweka antivirus ya kudectet virus na wengine wakajiingiza hapo hapo
 
Ni vizuri tukajua aliyeweka hii site ni nani au amekuwa Authorized na nani ndani ya Chadema...coz hizi details za watu......Kuhusu hii site kuonyesha kuwa ipo affected na Virus...huenda huyu Virus ni application itakayokuwa inatuma information kwa mwenye Site kila ninapotumia Computer yangu!! Tuwe Makini!!
 
Poti vipi poti....mbona umeamua na kutaja jina lako kabisa hapo kwenye fb peji poti
.
Poti Kiherehere sio mimi niliyepost! ... ni Mkuu Online Brigade aliyeipost katika post no 9 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...chadema-online-umeanza-rasmi.html#post4182158

Mimi nime-maximise tu image aliyopost Mkuu Online Brigade ili ionekane vizuri ..

Ila na mimi naona kuna facebook pake kwenye screenshot ... sasa labda Mkuu Online Brigade aiondoe image .. au labda hana tatizo nayo.
.
 
Back
Top Bottom