Elections 2010 Usajili Vyama Vipya vya Siasa: Ada yapandishwa kwa asilimia 2000!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,442
113,452
Ada ya kusajili vyama vipiya vya siasa nchini, imepandishwa kwa asilimia 2000 kuanzia leo!.

Ongezeko hilo limetangwa leo asubuhi na Msajili wa Vyama, John Tendwa, kuwa ada ya usajili wa muda imepanda toka 25,000 mpaka 500,000 wakati usajili wa kudumu imepanda toka 50,000 mpaka Sh.1,000,000. Hata hivyo Msajili hakutoa sababu za ongezeko hilo.

Source TBC News za mchana.
 
Back
Top Bottom