Usajili mpya wa timu ya upinzani bunge lijalo....

MtazamoWangu

JF-Expert Member
Apr 25, 2009
313
7
1. John shibuda
2. Arcado ntagazwa
3. Tundu lisu
4. James mbatia
5. John mnyika
6. Freeman mbowe
7. Augustine mrema
8. Kafulila
9........... Kuna wengine???

Hii timu itakuwa inatisha sana, italeta chachu sana na changamoto za kutosha...itakuwa raha sana kuangalia kipindi cha bunge lijalo live bila chenga...wakati upande wa pili ukiwakosa wachezaji viungo...mudhihiri,shelukindo,malecela....

"liishalo ndio dogo kuliko lijalo" m.mpoto
 
Back
Top Bottom