Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
Haha, babu hii kali alafu timu yako wewe mdebwedo kwa Barca linapokuja swala la wao kuchukua wachezaji.
...ndio maana nikasema mimi ningekuwa Wenger, ningemvua u Captain, halafu namuweka kwenye transfer list kwa dau la £100m. Man City na Real Madrid pekee ndio wanaoweza kumnunua kwa dau hilo...ndoto yake ya kwenda Barca itakuwa imeishia hapo!
Arsene Wenger utamuona ananywea kwa dau dogo la £20m plus... hovyo kabisa!
Vipi, Man City weshakamilisha usajili wa Tevez? waarabu wameweka mezani £30m, plus £200,000 per week wage!
Mwaka huu SAF wenu ataweka kibindoni pesa nzuri wallahi, £80m za Ronaldo, £30m za Tevez, sijui Vidic naye atamuuza kwa ngapi!