Usaili wa NHIF

fanya kama umesahau mkuu, si unajua kazi zenyewe za kibongo unawezakuta watu washaanza kazi hafu wewe unasubilia short list. kwan post zenyewe zilikua ngapi vile? mi niliapply IT Officer ila nshasaau cos post yenyewe ilikua 1 nafikili.
 
Kuna jamaa anafanya kazi hapo nakwambia akataka kunitapeli kwani aliniambianimtumie CV pamoja na pesa ili ampe hr niingie kazini bila interview! Jamaa nkamwambia anifanyie mpango then kama ntapata kazi ntamuachia salary ya miezi mitatu!! Yaan kapotea mpaka Sasa! Namba na jina kapuni!
 
huyo jamaa nimemckia, anataka 50,000
 
Ndio kaka but mm aliniomba laki moja kwenye posti ya finance!! Yaan kuna washikaji walikua wameisha mtumia pesa baada ya kumpigia simu akawa apokei I! Washikaji wakapiga simu voda wakarudishiwa pesa zao
 
Vijana tulieni msicheze na Mungu,kama amekuandikia ni yako tu.Mi niliapply namuamini Mungu wangu nitapata tu.
 
fanya kama umesahau mkuu, si unajua kazi zenyewe za kibongo unawezakuta watu washaanza kazi hafu wewe unasubilia short list. kwan post zenyewe zilikua ngapi vile? mi niliapply IT Officer ila nshasaau cos post yenyewe ilikua 1 nafikili.

ndio maana watu wanakosa kazi kwa kutokuwa serious. eti afanye kama amesahau!! mtu aliyepoteza muda wake na pesa kufanya application leo unamwambia afanye kama kasahau!!!! hivi inaleta maana kweli?
 
of cause hawa jamaa watatema mda si mrefu ila hawa jamaa huwa wanaita karibu kila mtu aliyetuma application mnafanya writen interview then ndo imetoka hakuna oral wanachauguana wanavyopenda mi siamini kama haki ya kweli inafanyika haiwezekani maelfu ya watu tufanye paper lazma watu wengi watafungana kwenye maksi so wanatumia kigezo kipi tena bila ya kufanya oral,mi mwenyewe nilishawahi kuingia kwenye written na nikawa na tamaa sana cause hili paper nilijua nimechana sana but nikachinjiwa baharini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom