Usaili wa JKT visiwani Zanzibar umefikia wapi ??

Moudy_Choice

New Member
Apr 27, 2016
1
0
Juzi tuu JKT walitangaza nafasi za kujiunga na JKT kwa mwaka 2016/2017 kwa kujitolea na kutaja sifa za mtu ambae anaweza kujiunga na jeshi ilo kwa fununu nilizonazo bara kuna baadhi ya wilaya tayari.

Cha kushangaza huku visiwani kila unapoenda mikoani na wilayani watu hawana taarifa na ukizingatia Mei 20 ndio mwisho.

Mwenye ujuzi anijuze tafadhali
 
huko kuna JKU hakuna JKT
 
huko kuna JKU hakuna JKT
JKU ni kwa wazanzibari tu lakini JKT ni kwa watanzania wote wa bara na visiwani...so mdau avute tu subra watakuja zenji km kweli bdo hawajaja...maana hizi nafac cku hizi zimekuwa na ukiritmba sn na rushwa hasa uku zenji.
 
Back
Top Bottom