Usaili kazi za sensa kesho saa moja asubuhi.

mosagane

Senior Member
Jul 24, 2012
122
25
wadau na wanajf kwa ujumla,anaomba juwajulisha kuwa kwa wale walioomba nafasi za ukarani na usimamizi wa sensa majina yamebandikwa ofsi za watendaji wa kata na kesho ni siku ya usaili hasa kukagua vyeti kuanzia saa moja asubuhi.kwa wale waajiriwa usaili utafanyika katika ofsi za waajiri wao.
muhimu ni kufika na vyeti vyako origino kama ulivyoambatanisha vivuli vyake katika form ya maombi.

source:mimi mwenyewe nipo kata ya kawe na jina langu limetoka.
 
kunradhi kwa makosa ya uchapishaji yaliyojitokeza hapo kwenye thread ni(naomba)badala ya anaomba(kuwajulisha)badala ya juwajulisha.
 
Ivi malipo yake yako vipi,tusije tukawa tunapoteza muda wetu bure tu?
 
malipo hawajaweka wazi sana ila inasemekana kuwa kuanzia semina hadi mwisho wa kazi sio chini ya laki tano
 
Ni kuanzia sa 1 hadi mda gani mkuu mana wengine ha2jafika kucheki majina au wote mliojua waliwa2mia msg watendaji?au ni kwenda kuchek wenyewe?Nahofia isijekuwa jina lipo nikachelewa hafu mwingine akatek chance mana TZ!!!
 
Vp na sisi wa mikoani jaman hasa moshi leo tumeenda ofic ya kata mtendaj hayupo sasa sijui inakuwaje hapa
 
mkuu nenda hapo mti mpana uangalie. Nyuma ya kituo cha polisi. Mia

mkuu hyo adress umenichanganya kidogo,kituo cha polis cha hapa mivingeni au kuna kituo kingine hapa kurasini,kwan mi nilipeleka maombi yangu ofisi za kata hapa shule ya msingi mvinjeni..nipe msaada hao kwenye anwani mkuu.
 
inasemekana kuna order kutoka JUU kwamba waalimu wapigwe chini, jana mkuu wa wilaya temeke ambaye ndio afisa sensa mkuu wa wilaya aliwaambia watendaji wa kata zote (waliokuwa wameitwa manispaa ili kupewa list za watu waliopata kazi ya sensa) kwamba warudi tena kwenye kata zao waandae alternative list ambayo haijainclude waalimu na waiweke na waipeleke leo manispaa, so far ndio kamvutano kanaendelea cha chinichini baina ya CWT na serikali kuhusu hyohhyo sensa yan design kama serikali inataka kuwablackmail walimu waliogoma kwa issue ya sensa.
Disclaimer: hii nimeipata kwa huku temeke tu cjajua halmashauri zingine imekaaje.
 
mkuu hayo ni ya kweli coz hata majina badn hawajaweka hapa kata ya kurasini Tmk.
 
Aksante kwa taarifa mkuu,kwa wale mikaoni mtujuze kinachoendelea huko naona Dar mambo yanaelekea kuiva!
 
Makarani watarajiwa mkumbuke usaili utakuwa kwa lugha ya kigeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom