usail kata ya kawe

Ndo ishakula kwako, cz walitaka kujua wale waliomba bado wanaitaji? Na je wanakaa mtaa gani? Ili wajue kila mtaa wapange wangap kutokana na list watakayoitaji, na wote 2liandika majina, so kama wataitaj watachagua toka kwa hayo majina ya alhamis..ways 2meambiwa majibu j3.
 
Jaman naomba kuuliza kama ujatokea knye usail unafanyaje?

Kama haujatokea kwenye usahili, hautakiwi ufanye chochote. Yaani ukae kimya kuhusiana na usahili husika na wewe uendelee na shughuli zako za kawaida.
 
of course kama hujatokea kwenye usaili ndo basi tena kwa sababu hata kwenye tangazo lao la ijumaa wamesema kwa wale waliofanya isaili waende jumatratu kuangalia majina yao sasa kama hata usali hukufanya unategemea nini?ndo basi tena!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom