Usahili tra

DENNING

Senior Member
Jun 22, 2011
174
109
Jamani mliokwenda usahili TRA vipi zilikuwa ni nafasi zote walizotangaza au some of them?.Manake nashindwa kuelewa.
 
waliofanya jana jumatatu majibu yametoka na yamebandikwa leo usiku msimbazi centre.Second interview from friday.
 
we kama ulifanya interview j3 nenda kaangalie jina lako msimbazi center usichelewe,oral inaanza kesho kwa post za tax officers.
 
jaman jaman b criaz izo intavyuu walifanya wa2 wangap manake me nina kaka angu yupo kitengo hucka hapo TRA anasema hawajaita bado
 
Hodi hodi wadau,hizi maada za ajira zimenigusa sana nikaona hebu nami nijiunge ilinishee nanyi maana nami niko kwenye mchakato huohuo.Hivi tra waliita na watu wa Information System Auditor au bado?Naomba nijuzwe jamani.
 
nijuavyo kwa taarifa nilyopewa na mtu wa adminstration TRA bado wapo kwenye mchakato sasa wadau wengne wanasema washaita hapa sielewi kama TRA imedanganya au wadau wana2zngua
 
kwa taarifa yako ni kwamba waliofanya usahili jana kitengo cha PREVENTIVE ASSISTANT leo wamebandika matokeo MSIMBAZI CENTRE waliochaguliwa ni 308 oral ni kuanzia j3, upo hapo?
 
kwa waliofanya interview kwa post za ass. tax officer na ass. preventive officer majibu ymebandikwa msimbazi centre me nilipita pale kucheki
 
ngoja nikaangalie ukoo wa watu walio bandikwa msimbazi nikawabandue. over
 
Jamani nauliza ni vipi kwa wale walichelewa kujua kua majina yao kua wameitwa kwaajili ya oral hususani wale wa mikoani?tunawezafanya huo usaili au ndio imekula kwetu?.
 
sasa mdau oral itafanyika msimbaz centre, afu wewe upo mikoani! imeishakula kwako, au km vp kwea pipa uje dar.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom