Usagaji Twiga Stars?

Nikipitia habari za michezo asubuhi ya leo, nimefadhaishwa na habari ya kuwepo usagaji katika timu yet ya wasichana, Twiga Stars.
Gazeti la Mwananchi toleo la SpotiMikiki(Juni 25 2012, uk wa pili), limeeleza kuwa imekuwepo tabia ya wasichana kusagana katika timu hiyo.
Linaendelea kudai kuwa kocha wa timu hiyo Boniface Mkwasa, katika kuchukua hatua kukomesha tabia hiyo, alidiriki kuwafukuza wasichana kadhaa kutoka katika timu hiyo, lakini bila mafanikio.
Hapa nilipo nimebaki najiuliza hivi vitendo ni vya kawaida kwa wasichana?
Au ndio fasheni?[/QUOTE]

imeshakuwa fashion hasa mijini..wengine hutaka kujaribu tu ili kuona kulikoni katika mambo haya. Wengi huishia kunogewa na kufunga tela katika shughuli hizi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom