Usafiri wa wabunge kuelekea Bungeni Dodoma mwaka 1984! kumbe inawezekana!!

Mnataka mtuludishe kwenye umasikini wabunge wenu jamani acheni wivu wa kike by WABUNGE!
 
Lakini ndiyo maendeleo kwenda na VX ila mmezidisha mbona majirani zetu wanaennda na VW au Pegeot
 
Back
Top Bottom