Usafiri wa kwenda Comoros kutoka Dar au Zanzibar uko vipi?

Eti kuna boat zozote zinazoenda Comoros au Seychelles kutoka dar au zanzibar?
Kama zipo ni bei gani na zinaondaka dar/zanzibar wakati gani?
Ndege ya kwenda Comorros ipo tena inaruka kila siku inaitwa AB Aviation inatoka Comorro kuja Dar na kugeuka. Pia kwa Seychelles na wao ndege ipo sema yenyewe ratiba yao sijaipata fresh inaitwa Air Seychelles huwa ikija inatoka direct kwao then ikiwa inaondoka Dar inapitia Nairobi to Seychelles. Boti sina ufahamu
 
Air Tanzania walikuw ana bei rahisi enzi hizo walikuwa wanakera ile mbaya.
Unaweza kukuta ndege haiji kabisaa mnaambiwa siku ya pili,hili ndio janga lao,labda wabadilike

Meli ilikuwepo inakuja Zanzibar,ila kuna kipindi ilizuiliwa kwa Ubovu kama sikosei
 
Nilisikia MV Mapinduzi walikuwa wanakamilisha vibali ili waanze safari za Comoro, sijui wamefikia wapi. Lkn pia Precision Air nao wanakwenda Comoros, nimeona kwenye Mwananchi wakiranfaza kwenda mara 3 kwa wiki , nauli ni USD 247 return ticket.

Vv
 
Safi mkuu kwa kujazia
Mapinduzi wakianza Safari hii itakuwa safi sana.Maana wengine hapa tunaitegea
Unajua kutumia ndege kusafirisha mizigo ni ghali sana,na uwezo wa MV mapinduzi upo vizuri sana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom