Usafi wa Lowassa, uchafu wa CCM

Adui Mkubwa wa watanzania ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) hiki chama ni kichaka cha kufichia majambazi.

Ukiwa na kichaka karibu yako kikawa kinakusumbua kinachohitajika ni kuhakikisha hicho kichaka hicho kinaondoka.

Kuondoa UFISADI Tanzania ni kuondoa Chama Cha Mapinduzi.

Inabidi kuangalia katika sheria kama kuna sehemu tunaweza kuhitumia kufanya Chama Cha Mapinduzi kuwa kimepoteza sifa za kuwa chama cha siasa Tanzania hivyo kifutwe katika daftari la Msajiri wa vyama vya siasa.
 
Walter Sawe
Rais Kikwete aliwahi kusema yaliyomkuta Lowassa ni ajali ya kisiasa. Naamini Lowassa alipokuwa akifanya maamuzi mengi kati ya niliyoyataja hapo juu, tulimshangilia na kumsifia kana kwamba kiongozi shupavu. Nauliza, je, utamaduni huu wa kumalizana utatupeleka wapi?



h.sep3.gif

Akifanya vizuri tunamsifia na kumshangilia... Akifanya vibaya tena kwa kukusudia achwe asiwajibishwe...hiyo imekaa sawa kweli?
 
CCM IMEOZA, NI CHAFU, INANUKA RUSHWA, japo kuna wanachama wachache ambao wana jitahidi kupigana na Ufisadi ndani ya CCM. Sometimes nao nitawaita waongo, kama kweli wana uchungu na nchi hii wajitoe watengeneza chama chao. Nyerere alisema upinzani mzuri utakuwepo CCM ikimegeka, (which is tru)Tunarudi kwa Lowasa, hana usafi wowote, He is dirty as the other ones.
 
Inahuzunisha sana kuona kuwa watu wote wa Tanzania tunazubaishwa kama hivi wanavyofanya CCM na suala hili la Richmond na mambo mengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom