Elimu ya Kinywa: Usafi wa meno na kinywa kwa ujumla, sababu, kinga na tiba za harufu mbaya

Kuna mtu wangu wa karibu sana amabe yeye hupiga mswaki kila asubui na anapolala usiku lakini hua anakua na harufu mbaya sana ya mdomo..tatizo linaweza kua ni nini na anawezaje kupata tiba ya hilo tatizo mkuu.
Inawezekana ukawa na ugaga (calculus)kwenye meno ndio sababu ya hiy harufu hiyo ambayo huwa haiondoki mpaka hizo calculus ziondolewe kitaalam katika dental clinic
 
Huo ushauri wa mouthwash sikubaliani nao.

Tokea niko mdogo kabisa hata darasa la kwanza sijaanza nilikuwa natumia mouthwash na mpaka leo hii mbona sina tatizo la maonjo!
Mhh mwenzenu mouthwash imenishinda,nasikia kalii sana mdomoni inachomaa chomaa sanaa, nishajaribu ile Listerine sijui inaitwa it was unbearable...
Aina ipi ya mouthwash haiumizi? Na unaitumia mara ngapi kwa siku,..
 
Zipo nyingi tu ambazo ziko less intense. Hata za Brand ya Listerine zipo. Ni kusoma label inasemaje.
 
Zipo nyingi tu ambazo ziko less intense. Hata za Brand ya Listerine zipo. Ni kusoma label inasemaje.
Oh okay,
Na unaweza substitute mouthwash na kupiga mswaki?
Mfano ushapiga mswaki usiku vizuri ,umemouthwash umeenda kulala
Asubuhi si unaweza mouthwash tu ukatoka au...
 
Mnaizungumziaje dawa ya mswaki ya forever living... Naona huwa inasifiwa sana,haina fluoride na inasidia wenye matatizo ya meno
 
Oh okay,
Na unaweza substitute mouthwash na kupiga mswaki?
Mfano ushapiga mswaki usiku vizuri ,umemouthwash umeenda kulala
Asubuhi si unaweza mouthwash tu ukatoka au...
Hmm....wewe!

Hiyo ni juu yako....kama mdomo haunuki basi poa tu.

Ila sidhani mouthwash inaweza kuwa sub ya mswaki.
 
Naomba kujua unajuaje kuwa kinywa chako kinatoa Harufu.. Maana nina rafiki yangu ana Harufu sana kinywani.. Akiongea balaa sasa najiuliza na mimi niko hivyo au maana naona kama mwenyewe hajijui vile..
 
866e0c7a06b78732d2e0ed5a398e976e.jpg
 
Back
Top Bottom