Usafi, Kujipenda, kwenda na wakati. Ma sister duu wa Uganda kwanza, Kenya mwisho Tanzania

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Angalia watotoziiii wa Kigandaaaaazzzziiiiiiiii

desLONDON.jpg jsilk.jpg sexsheebah.jpg zarisa1125.jpg shb602.jpg blak1158.jpg
 
Umetumia vigezo gani?Usafi na kujipenda sio kujipulizia perfum tu na kuvaa!
 
Utafiti wako una walakini mkubwa sana......embu tueleze sampling technique ipi ulitumia?
 
cc wengine hukutuchukua wkt wa sample yako , zo mapungufu kibao, wee umechukua sample chafu za tz afu unasema uganda wanaongoza
 
Ningeendelea kukwesheni hako kakijirisachi kako ila hizo namba nikikuuliza wangapi kati yao unawajua in person..umefika makwao ukaona kweli ni wasafi na wanaanza kujali sehemu wanazolala kabla ya wanachovaa sidhani kama jibu litakua zaidi ya asilimia moja!Na hapo na ongelea jibu ambalo ni la kweli bila hata kujidanganya mwenyewe...so i'm out!
 
Pole Lizzy
 
Duhh! bahati mbaya sana mie naishi hapa Chuoni kwangu na Waganda wengi sana. Tuko mataifa mengi sana ila kwa mchanganuo rahisi ni kuwa watanzania tuko 10, waganda 30, wakenya 4, warundi 10, wanyarwanda 20, na mataifa mengine ya Afrika, Ulaya, Marekani ya kusini na visiwa ya pacific lakini WATANZANIA wanaongoza kwa kupendeza, usafi n.k ... Wanganda wengi wanataka tuwaunganishe kwa dada zetu. Ni aibu kwa post hii isiyo na utafiti wa kina.
 
Back
Top Bottom