Usafi kipindi cha hedhi yepi mnayokutana nayo

Nadhani ni tatizo la mazingira yetu..Kutokana na ufinyu wa nafasi za kutupa pedi wanawake wengi huifadhi pedi zao mpaka watakapomaliza and then huzitupa mahali husika.... na wakati mwingine husahau kuzipeleka mahali husika.Ila kama ingekuwa inawezekana kuzitupakila jioni hali kama hii isingejitokeza labda kwa wale wenye vyoo vya shimo.


r u gender sensitive?
Inaelekea wewe ni mmojawapo..wenye tabia hii chafu hamko wengi..mko wachache sana.
Ushahidi - soma michango hapa uone mwelekeo.
samahani lakini kama ukweli huu hauvumiliki.
 
Back
Top Bottom