Usafi kipindi cha hedhi yepi mnayokutana nayo

X-pin hizo hasira zako duh..... kosa ni hili hili au kuna jingine? Aksante kwa kututetea lol

Hakuna atakayedhalilisha wanawake nikamuacha hivihivi. Nawaheshimu sana hawa viumbe. Licha ya kuwa mwanamke ndiye aliyenizaa, bado kuna mambo mengi ambayo kama si mwanamke nisingekuwa hapa nilipo. Thamani ya mwanamke iko juu. Siwezi kuliacha ***** moja linawadhalilisha mamilioni ya wanawake kwa sababu ya upuuzi wa mkewe! Hapana!. Ngoja nikamsake kwenye thread nyingine. Leo, mpaka arudi hapa aombe radhi!
 
Mtoto wapi mtu mzima na ana watoto kabisa.
Watu tunakemea shetani duh kucheki chini cement inageuka langi inakuwaje iwa hamjitambui au ndo uzembe?

Fidel,
kama unasema ni mwanamke mtu mzima na mwenye watoto, basi atakuwa na tatizo zaidi linalompa hiyo hali.Ni mawili - ama peri-menopause au huenda ana tatizo la fibroids ambapo huweza kupatwa na hali hii ghafla tena kwa nguvu ya ajabu.Hii ni mada nyingine kabisa na ni kumuonea huruma siyo kumtupia madongo.Inaweza kumpata mwanamke yeyote hata mama yako hivyo tema mate chini!
 
Hahahaha departure time saa ngapi hivi nisije nikachelewa wapwa si mnajua leo ni fraha day.

dipacha taim ni one hour later!tunaitaji electroniki maikroskopu kujua who iiz who!unajua jeiefu MAMLUKI ni kibao!
 
Hakuna atakayedhalilisha wanawake nikamuacha hivihivi. Nawaheshimu sana hawa viumbe. Licha ya kuwa mwanamke ndiye aliyenizaa, bado kuna mambo mengi ambayo kama si mwanamke nisingekuwa hapa nilipo. Thamani ya mwanamke iko juu. Siwezi kuliacha ***** moja linawadhalilisha mamilioni ya wanawake kwa sababu ya upuuzi wa mkewe! Hapana!. Ngoja nikamsake kwenye thread nyingine. Leo,
U deserve to be Man of the year 2009!
Ila tusubirisubiri maana December bado mbichi.
 
Inaweza kumpata hata mama yako hivyo tena mate chini!

Hahahaha nimetema mate juu alafu nimeyadaka.
Lakini usafi jamani huko Ikulu jamani muwe mnakukarabati wengine iwa tunashindwa hata kuvumilia hasa hicho kipindi kigumu kwenu.
 
Hakuna atakayedhalilisha wanawake nikamuacha hivihivi. Nawaheshimu sana hawa viumbe. Licha ya kuwa mwanamke ndiye aliyenizaa, bado kuna mambo mengi ambayo kama si mwanamke nisingekuwa hapa nilipo. Thamani ya mwanamke iko juu. Siwezi kuliacha ***** moja linawadhalilisha mamilioni ya wanawake kwa sababu ya upuuzi wa mkewe! Hapana!. Ngoja nikamsake kwenye thread nyingine. Leo, mpaka arudi hapa aombe radhi!
he he he he!
mpwaaaaz for the mamaaaz!
usisahau checking time ni 07:30
 
dipacha taim ni one hour later!tunaitaji electroniki maikroskopu kujua who iiz who!unajua jeiefu MAMLUKI ni kibao!

Hahahaha hivi Konda atakuwa nani vile wa kukagua ticket maana tayari watu naona PM kibao hapa wanaulizia vernue.
 
nimejaribu kumtrace anyhow hapatikani,AMESAINI-AUTI!kwa mujibu wa records za seva aliyoitumia wakati anajiandikisha INAONEKANA YUPO URUSI!wanawake wa urusi watakuwa ni wachafu sana

Ni kweli limesaini auti bwashee!
Poleni wanawake kwa kudhalilishwa na mtu mmoja mwenye bahati mbaya ya kuoa mke mchafu. Ukiona mke mchafu, definetely na mume lazima atakuwa mchafu! Ndege wa aina moja huruka pamoja! Msameheni bure, nami nimeamua kumsamehe!
 
Man of the year 2009[/B]!
Ila tusubirisubiri maana December bado mbichi.
anafaa huyo!
Veracity,
kesho CHECK-IN tyme ni saa moja asubuhi!WAHI.....!furaha iliyoje unakaa na MAN-OF -THE-YEAR
 
Fidel,
kama unasema ni mwanamke mtu mzima na mwenye watoto, basi atakuwa na tatizo zaidi linalompa hiyo hali.Ni mawili - ama peri-menopause au huenda ana tatizo la fibroids ambapo huweza kupatwa na hali hii ghafla tena kwa nguvu ya ajabu.Hii ni mada nyingine kabisa na ni kumuonea huruma siyo kumtupia madongo.Inaweza kumpata mwanamke yeyote hata mama yako hivyo tema mate chini!

I pressed the crusial button but i feel its not enough. naomba niandike...

THANK YOU SO MUCH VERACITY FOR THIS USEFUL POST
 
anafaa huyo!
Veracity,
kesho CHECK-IN tyme ni saa moja asubuhi!WAHI.....!furaha iliyoje unakaa na MAN-OF -THE-YEAR

Hehehe! ZD wangu mwenye wivu atapiga watu tae kon dow! Ohooo! Stuka VC!
 
Hahahaha nimetema mate juu alafu nimeyadaka.
Lakini usafi jamani huko Ikulu jamani muwe mnakukarabati wengine iwa tunashindwa hata kuvumilia hasa hicho kipindi kigumu kwenu.

Fidel,
Hali hiyo haipaswi kuwa kero maana kuna vifaa - pads, tampons, douches, Femine-deo sprays, udi, vyote vikilenga kumweka mwanamke msafi tena na kunukia vizuri.Lakini usafi wa kawaida pia wa kuoga mara kwa mara, hata kunawa na kubadilisha angalau mara nne kwa mchana mmoja kutegemeana na uzito wa hali ni lazima.Nguo za ndani zibadilishwe na kufuliwa mara moja na kuanikwa, na siyo kuvundika au kuanika uvunguni mwa kitanda!
Kama kuna wenye kuwapeni kero basi hawako makini wao wenyewe.

Natumaini haya masomo tunayoyatoa hapa akina kaka/baba mtawapa wake zenu kama mnaona wanaupungufu kwenye hili eneo.
 
Hahaha! Naona kama muda hauendi. Leo ntakesha baa mpaka kukuche. Nahofia nikilala ntachelewa kuamka!
supa-kastamu ipo 21st centur garage INAKULA SERVICE!imajini GAME-DRIVE!halafu chukua cd ya wimbo wa KING-KIKI-KITAMBAA CHEUPEE!nataka nikamkamatie kiuno simba!ha ha ha ha:D
 
Fidel,
Hali hiyo haipaswi kuwa kero maana kuna vifaa - pads, tampons, douches, Femine-deo sprays, udi, vyote vikilenga kumweka mwanamke msafi tena na kunukia vizuri.Lakini usafi wa kawaida pia wa kuoga mara kwa mara, hata kunawa na kubadilisha angalau mara nne kwa mchana mmoja kutegemeana na uzito wa hali ni lazima.Nguo za ndani zibadilishwe na kufuliwa mara moja na kuanikwa, na siyo kuvundika au kuanika uvunguni mwa kitanda!
Kama kuna wenye kuwapeni kero basi hawako makini wao wenyewe.

Natumaini haya masomo tunayoyatoa hapa akina kaka/baba mtawapa wake zenu kama mnaona wanaupungufu kwenye hili eneo.
swaaaaaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiii!
 
Natumaini haya masomo tunayoyatoa hapa akina kaka/baba mtawapa wake zenu kama mnaona wanaupungufu kwenye hili eneo.

Mi hapa na note tu nikifika Chawote nitaanza kuyarudia kipengere kwa kipengere na kifungu kwa kifungo ni somo zuri sana lakini tatizo akina mama/dada wengine ukiwapa somo inaonyesha kama una mdharau basi anakuchukia.
 
Fidel,
Hali hiyo haipaswi kuwa kero maana kuna vifaa - pads, tampons, douches, Femine-deo sprays, udi, vyote vikilenga kumweka mwanamke msafi tena na kunukia vizuri.Lakini usafi wa kawaida pia wa kuoga mara kwa mara, hata kunawa na kubadilisha angalau mara nne kwa mchana mmoja kutegemeana na uzito wa hali ni lazima.Nguo za ndani zibadilishwe na kufuliwa mara moja na kuanikwa, na siyo kuvundika au kuanika uvunguni mwa kitanda!
Kama kuna wenye kuwapeni kero basi hawako makini wao wenyewe.

Natumaini haya masomo tunayoyatoa hapa akina kaka/baba mtawapa wake zenu kama mnaona wanaupungufu kwenye hili eneo.

Thanks God, my wife knows all about these.

The following users say thank you Vera City for this useful post: Chrispin
 
Back
Top Bottom