Usafi katika nyeti!

Khaaa! Mi ndo sirudii tena kwenda huko.......... usiniulize kwanini. Unakumbuka ulivyoniuliza haya makovu mdomoni yamesbabishwa na nini sikukujibu?

aiseee, hapa ndio naelewa sasa, ukomege na wewe, sio lamba lamba ile ati....hahahaha, nashukuru 2 kwangu mie haina madhara(kidhungu) kupiga deki huko chini, na msukuma alivyo na kinyaa hahahaha ningemic uvinza kweli, na mie bila uvinza sebene haliendi......karibu mbege!:lol:
 
Swali la kizushi:

Ushawahi kumwona mwanaume anakojoa asiteme mate?
Au mwanamke akimwaga kojo bila kuachia kaushuzi kiduchu? (hapa nazungumzia wanaojojoa wakiwa wamechuchumaa) LOL

hii nimeipenda!looh umenchekesha sn
 
Usafi ni muhimu kwa wote tu na sio wanawake peke yao. Fuata haya1. Fua nguo zako za ndani mara kwa mara. (Wanaume wengi sana ni wavivu kwenye suala hili)2. Nyoa vuzi kila baada ya wiki mbili usisahau pia za kwapa.3. Osha "dudu" kila baada ya kufanya tendo kwa maji safi na sabuni. (wengi huwa mnafuta tu kwa vitambaa). Na uoge baada ya kumaliza hiyo shughuli.4. Oga mara kwa mara.5. Jioshe vizuri baada ya kukata gogo unatoka mbele kuelekea nyuma.6. Kojoa mara baada ya kumaliza tendo na mwandani wako, hii husaidia kusafisha ile njia ya shahawa.
dahh!!!!unafaa kufundisha jando na unyago
 
Kwa wanaume:
  1. Kwanza kabisa umme wako ni sehemu muhimu sana ya mwili wako na the most valuable asset. Kwa hiyo you owe it to your penis to always keep it clean, healthy and fit for purpose. Give it the care it deserves and you may not be the only one to benefit: your partner will probably be grateful too!
  2. Ni muhimu sana kuufanyia usafi uume lakini ukiuosha sana kwa sabuni na detergents can make you sore. Kutoosha au kuosha sana inawezasababisha balanitis kwenye kichwa cha uume. So, kuwa makini hapo.
  3. Epuka kutumia talc and deodorants hasa kwa wale ambao hawajatahiriwa. Kama kuna ulazima basi tumia mild soap au non-soap cleanser kama sorbolene au glycerine cream.
  4. Osha uume wako kwa uangalifu mkubwa wakati unaoga. Kumbuka its very sensitive!
  5. Kama hujatahiriwa hakikisha unaosha uume wako kwa ndani kwa kuvuta nyuma ngozi inayofunika kichwa cha uume na kuosha kichwa kwa maji ya uvuguvugu. Hakikisha unakausha kichwa kwa kitambaa laini na kikavu kabla ya kurudisha ngozi kufunika kichwa.
  6. Osha testes zako na angalia mara kwa mara kama kuna lumps. Lumps kwenye scrotum sio cancer lakini testicular cancer ni common sana kwa vijana wa kileo.
  7. Kama ni sexually active unashauriwa kujicheki mwenyewe at least mara moja kwa mwezi baada ya kuoiga in case kama una testicular au magonjwa ya kuambukiza.
  8. Cheki scrotum yako kila unapooga. Kama ukiona kitu tofauti wasiliana na daktari mara moja.
  9. Always tumia maji ya uvuguvugu katika kuosha. Usitumie maji ya moto au baridi sana.
  10. Kama unamwogesha mtoto mdogo never forcefully pull back the foreskin of his penis as this could be painful and cause harm. Foreskin inaweza bado ikawa imejiaatach kwenye kichwa.
  11. Hata kama umetahiriwa bado kuna umuhimu wa kuwa makini wakati unapoufanyia usafi uume wako. Kutokuwa na foreskin kunafanya kichwa kuingiliwa na vumbi, jasho, nk kwa urahisi zaidi. Hakikisha unavyoa pubic hair mara kwa mara.
  12. Usisahau kusafisha sehemu nyingine zinazozunguka uume na testicles. Jasho na pubic hair zikiungana zinaleta harufu mbaya kama ya kwenye kikwapa.
  13. Kila unapooga hakikisha unaosha sehemu iliyo kati ya base ya testicles na haja kubwa.
  14. Badilisha boxer yako kila siku
  15. Osha uume wako kila baada ya kukutana na mwanamke kimwili. Usisubiri muda mrefu upite.
  16. Epuka kuweka laptop juu ya mapaja karibu na uume wako. Umme wako unahitaji fresh air mara kwa mara.
Asante sana for the useful post, wanawake wangi wanahisi it is easier for dudes to stay 'clean', kume inaomba conscient effort from their side, maybe less than us, but very similar in some regards. Thank you EMT
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Safi sana, sasa dada zetu nafikiri mmepata utaalamu wa kutosha natumai nyeti zenu zitavutie wenzi wenu.
 
Hii thread ilinipotea sikuiona tena mpaka leo Nyamayao aliponikumbusha na kuitafuta...Mengi (kama sio yote) yameshaongelewa humu hasa na RR na Ikunda. Literature kuhusu usafi wa nyeti za mwanamke kusema kweli iko diverse, na kwa kiasi fulani imeathiriwa sana na bishara ya products mbali mbali za kutunza usafi wa kiungo hicho kitamu. Mimi naomba nistick kwenye facts tu zilizothibitishwa kisayansi:

- Uke, kutokana na umbile lake (anatomy) umejitengenezea kama mazingira yake separate ambayo hayataki kuchokozwa ili uke ubaki kwenye hali yake ile ile. Mazingira hayo ni:-
1. Ngozi ya hali ya maji maji (mucosal cells zake zinaproduce umaji maji na kuwa wet)
2. Asidi (uke uko acidic pH 3.8 - 4.5)
3. Vijidudu wakazi (normal flora mabao mainly ni fungus candida albicans na aina kadhaa za bacteria)
4. Mabadiliko ya kihormone (hormones za kike/uzazi)

- Uke naturally hutunza balance hii kwa kuwa na uwezo wa kujisafisha wenyewe (self cleansing) ili kupunguza uhitaji wa mwanamke kujisafi mara kwa mara na/au kujichokonoa na hivyo kuongeza hatari ya kuharibu balance.

- Balance ya vitu hivyo vitatu vya kwanza ndio vinadetermine afya ya uke katika kujilinda na magonjwa mbali mbali....na kuwa katika hali nzuri bila mwasho wala kunuka. Balance hiyo huzuia vijidudu wakazi (normal flora) wasizaliane kupita kiasi na kusababisha madhara kwa uke (kuwasha na/au kunuka), na balance hiyo pia huzuia vijidudu wengine toka nje mfano kwenye kinyesi au mkojo wasishambulie uke kirahisi. Na hiyo balance huwa haiathiriwi na hicho kitu cha nne (hormonal changes) hata unapokuwa kwenye hedhi (MP). Kwa kifupi balance hiyo haiathiriwi na mwili wa mwanamke unavyofanya kazi kikawaida.

- Balance hiyo mara nyingi (kama sio mara zote) uathiriwa na vitu toka nje ya hayo mazingira ya uke..mfano tendo la ndoa, vidole (kupima oil), wipes, tampoons, na mara nyingi sana vitu vinavyotumika wakati wa kuosha hasa kuosha kwa kuingiza vidole (douching) ukitumia products mbali mbali wanawake wanazotumia kuosha huko (sabuni medicated or not, maji yenye antiseptics mfano dettol au chloride nyingi, na products nyingine). Haya matendo uingilia ile balance, na mara nyingi uingilia vaginal pH kwa kupunguza uacid wake kuelekea neutral au alkaline.

- Balance ya uke ikishaharibiwa/ikiingiliwa...basi hao vijidudu wakazi (normal flora) ambao ni bacteria na fungus huzaliana kupita kiasi, na kwa kuwa ngozi ya uke ni laini na maji maji basi inakuwa rahisi kuishambilia na kusababisha mwasho na/au kunuka. Kuzaliana kwao na kukua kwa kasi pamoja na kushambulia ngozi laini ya uke kunafanya iwe vigumu kurudisha ile balance tena mpaka dawa za hospitali zitrumika kuua na kuzuia ukuaji wa wa normaql flora ili kuruhusu balance ijirudie tena....sasa hapa ndio trick na ugumu mzima ulipo.

Wanawake psychologically wakipatwa na ugonjwa wowote wa ukeni hujiona wachafu au ugonjwa umechangiwa na kuwa wachafu...na hivyo kitu cha kwanza ni kuongeza usafu wa huko chini...lakini ndio wanajikuta wanafanya mambo yanakuwa worse kwani balance ndio inaharibiwa zaidi na tatizo kuwa baya zaidi.

Literature kuhusu kusafisha uke zipo nyingi na tofauti...na zinaweza kuwa kweli kwa mazingira zilipofanyika. Kuna tafiti zinasema wanawake wasioshe uke kabisa, hizi zimebase kwenye fact kuwa uke ni self-cleansing na self-maintaning the vaginal balance.

Studies zimefanyika kuonyesha kuwa walikuwa hawaoshi walikuwa na episodes chache za magonjwa ya ukeni hasa fungus (candidiasis) kuliko waliokuwa wanaosha, na episodes za magonjwa zilikuwa fupi kwako ukilinganisha na waoshaji.

Kuna studies nyingine zimeonyesha unahitaji kuoshsa mara chache..mara moja, mbili,...kwa siku etc...lakini outcome sio tofauti sana na wasioosha. Kwa hiyo inategemea daktari ushori anaokupa unabase kwenye studies zipi.

Ndio maana kimtazamo nakubalina na RR na Ikunda kwa na ratiba ya kuosha uke (yaani kuingiza kidole ukeni 'douching' hata kwa maji tu bila sabuni au product nyingine yeyote) mara chache iwezekanavyo. Kuosha kijujuu (bila kuingiza vidole/douching) kama ukikojoa unaweza fanya hivyo mara kadhaa mfano kila unapokojoa, hakuna madhara ili mradi maji unayotumiaq ni safi. Na epuka kabisa kutumia sabuni, maji yenye dettol au products nyingine kuosha uke na maji yake kuingia ukeni kwa kidole.

Hakikisha unatumia mafuta/lubricant salama wakati wa tendo (nazungumzia njia ya kawaida...wala si tig* sababu tu nimetaja lubricants)...epuka lubricants zenye asili ya mafuta (petroleum jelly) kutumika ukeni, na condom zisizothibitishwa kiafya au zilizoexpire. Epuka anal-to-vaginal shift kama unatumia matundu yote. Squitting haina tatizo lolote kwani mkojo kwa kawaida ni sterile, yaani hauna vijidudu unless ukiwa na UTI.

Ukiwa na fungus wa ukeni (mara nyingi ni candisiasis ambao ni normal flora waliozaliana kupita kiasi...fungus wa ukeni mara nyingi si wakutokea nje kwenye maji machafu) basi ujue kuwa balance ya vaginal environment imeharinika, basi fanya unayoshauriwa kitabibu kutunda balance hiyo wakati wa matibabu.
 
Nakubaliana na nyama yao, hata mimi usingizi hauwezi kuja nisiposafisha uke wangu. ...eti nilale nisubiri ujisafishe wenyewe du!!! sijawahi kufanya hivyo. Sijawahi kupata madhara yanayosababishwa eti na kunawa ukeni, siwezi kutoka bafuni kuoga eti nisinawe ukeni. Naombea nisiumwe halafu nikaambiwa usinawe ukeni ndiyo tiba ya ugonjwa wako, nahisi ntaumwa mara mbili ksb ni ngumu sana kwangu kutonawa ukeni. Nikinawa ukeni najisikia fresh kupita maelezo na bahati nzuri na natumia maji bila sabuni wala kemikali zozote zile. Ila nimalizapo kukata gogo lazima ninawe na maji kwenye puu pamoja na sabuni ndiyo najisikia fresh na salama zaidi kuliko eti kujifuta na toilet paper(sipendi na situmii kabisa). Maji ya baridi yakiingia ukeni najisikia fresh lililo muhimu kwangu ni kuzingatia kuwa maji yawe safi na salama ikiwezekana.
Sikubaliani na hao wanaosema eti mwanamke wa kijijini hanawi ukeni, si kweli wengi wao wananawa tena vizur sana, kwa maji yao ya mtoni,ziwani au kisimani. Anaweza kuona uvivu kuoga mwili mzima lakin lazima atasafisha uchi wake vizuri.
Naheshimu michango na sababu zilizotolewa na wasiosafisha uke wao, ila pia naomba niwape hongera kwa kuweza kukaa bila kusafisha uke, manake kusema mi SIWEZI KABISA.
 
Dah yale nilotaka kuandika naona tayari Dr Riwa ameyaandika.
Ubarikiwe sana Dr Riwa
Sred Klosed
 
zaidi ya usafi wa uume kwa wanaume, uume unahitaji mazoezi pia. Mazoezi ni sehemu ya usafi. Mazoezi ya uume hufanyika ikiwa imesimama barabara. Mazoezi yanaongeza uimara wa uume, ukubwa, kusimama kwa muda mrefu.

Cha kufaya ni kuukandamiza chini kwa sekunde 4 hivi na kuuachia na kurudia tena. Namna nyingine ni kwa kuchua kwa mafuta ikiwa imesimama pia. Hakikisha hukandamizi sehemu laini ya chini.

Kadhalika katika suala la kunyoa mavuzi, kuna wale ambao huota mapele makubwa ambayo huondoa sura ya nyeti. Chukua kitana kisha weka kiwembe na unyoe taratibu kuacha vinyweleo vichache. Njia hiyo haileti vipele.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
zaidi ya usafi wa uume kwa wanaume, uume unahitaji mazoezi pia. Mazoezi ni sehemu ya usafi. Mazoezi ya uume hufanyika ikiwa imesimama barabara. Mazoezi yanaongeza uimara wa uume, ukubwa, kusimama kwa muda mrefu.

Cha kufaya ni kuukandamiza chini kwa sekunde 4 hivi na kuuachia na kurudia tena. Namna nyingine ni kwa kuchua kwa mafuta ikiwa imesimama pia. Hakikisha hukandamizi sehemu laini ya chini.

Kadhalika katika suala la kunyoa mavuzi, kuna wale ambao huota mapele makubwa ambayo huondoa sura ya nyeti. Chukua kitana kisha weka kiwembe na unyoe taratibu kuacha vinyweleo vichache. Njia hiyo haileti vipele.

Unamaanisha mazoezi ya stretching and jelqing? Pia bila kusahau PC muscle exercises: the most important exercise any man can do, and one every man should do for the rest of his life, as it could well save his life.
 
Hiyo Red: Hatari!!! Don't practice this at home!! Mungu ataamka akutie bakora!

Kwa wanaume:
1. Piga punyeto kabla hujaoga.
2. Ukishaoga futa storongo kwa taulo safi
3. Imwagie spiriti, au valuu kama spiriti iko mbali
4. Vaa Boxer iliyo safi, usivae chupi bana, kivazi cha kike hicho.
5. Ukikojoa hakikisha unatema mate
6. Baada ya kukojoa irudishe storongo kwa boxer ielekee upande wa kushoto.
7. Usinyoe vuzi, kunyoka kwawahusu wanawake. Kama waweza vuzi lisuke rasta
8. Ukifanya vaginal sex, malizia na anal sex (kusugua ili iwe safi zaidi na zaidi) Then kaoge na kuisugua kwa brashi ya nailoni, ofkozi hiyo ni baada ya kufanya kitendo namba 1 hapo juu.

Kama kuna swali, napatikana kwenye PM zaidi.

Hapo penye red nakubaliana nawe! Chupi aisee zinabana sana kiasi kwamba unaweza kupata fungus kwenye mifereji ya mapaja! Boxer ni mandatory kwa mwanaume anaejijali na kupenda usafi.
 
mwanamke wa kuosha mara 3 kwa week? gosh...wa aina gani huyo mwanamke? huo ni uchafu!
elewa somo shosti! umeambiwa kule ndani sio kuosha kawaida ambayo kila uogapo au ujisaidiapo unatakiwa kusafisha? hivi wewe kila siku unaweza kuwa unajichokonoa na kidole huko ndani kwani kuna uchafu gani pengine kila siku unakula vyakula mchnganyiko? aka mi pia nasikia tunatakiwa kuosha kawaida sio kujichokonoachokonoa kila mara maana tunaua walinzi wa nyeti wale wa asili. jichokonone inapobidi kama RR alivyosema labda mara tatu kwa wiki au ukitoka kula maana kunakuwa na utelezi. hahaha!
 
Back
Top Bottom