King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,779
kwa hiyo una maana walioko dar ruksa kutokukomba, ama ndo kuingia na kichupa cha kilimanjaro water bafuni? manake mp mie naogopa hata kijiangalia na macho,lol! ila hilo somo la kukomba ni topic nyingine mpyaa,shurti tuende kwa mwalimu akatufunde upyaaa. ngoja niishie hapa (usikute kakake ashadii anaona unampa ugali bila mchuzi bibie, ndo anachofuata hukoo small house. usintaje eeh shosti,mwanamke kifua,lol)
mke mwenzangu....mie kuoga bila kukomba huko ntahic kama vile cjatoka bafuni, shughuli yangu ya kwanza ndio huwa hiyo zingine zinafatia, cjawahi kupata tatizo la huko kwa namna moja au nyingine labda nilivyokuwa dar ndio maji yaliniletea fungus kdgo baada ya hapo haijatokeaga kabisa....