tupe darasa wengine tumekwenda jando la kimjinimjini baby!Ndio kazi ya somo sasa. Hivi inakuaje siku hizi
watu wanaoa/kuolewa bila kwenda jandoni?
ma-trick yote ya usafi ungepata huko huko
Mrs nae angefundwa,kazi yake angeijua vizuri.
Ngoja mi nikae kimya, tuliambiwa tusieme tulicho fundwa.
Inawahusu wawili wanaoishi pamoja,SIO wale wanaokutana gesti kwa short time.Nauliza wenzangu wanamaandalizi gani kabla na baada ya kufanya mapenzi.maana mi naonaga uvivu kuoga oaga kila wakati ninapo do usiku!
Nikikwambia thread itahamishwa mambo ya kikubwa...tupe darasa wengine tumekwenda jando la kimjinimjini baby!
so,kila baada ya bao ,kuoga!Yahoo mkimaliza msosi shurti mkajiswafi kwanza,ili kuondoa majasho na kurudisha nguvu mpya,kuoga kunasaidia sana kuwafa mjione kama ni wapya,
na inapendeza sana kama mtaoga pamoja katika harakati za kuogesha mnaweza kupata ham ya kula chakula tena hukohuko bafuni,
Kuoga ni muhimu sana Yahoo.
Hahahahaha, umenichekesha kweli.una aibu sana we mtoto, ndo mana *unaniangali hivyo,kama unapiga chabo!
cc huwa tunajifuta kwa kitambaaa au kitambaa safiiii,then game linaendleaKwa kweli kuoga yapendeza afu inawapa nguvu mpyaaaa! Aisee mkishamaliza shughuli afu msioge naona kinyaaaaaaa! Ila kasheshe kwa wasiojua game, imagine mtu dkk 3 tu anamwaga, si atashinda kwenye maji km samaki!
Wacha kumpoteza kijana wa watu. hakuna maandalizi kabla?Kabla hakunaga maandalizi,usafi ni baada ya kazi...
Tutaftane ili tufundishane kwa kujinafasi zaidi ,inaelekea unamambo adimu.... ni PM!Hahahahaha, umenichekesha kweli.
Hata hii look tulifundwa huko huko.
Sio mwanamke unaangalia na macho ya ukali::mmph:
kama unaingiza vocha, hutaki kuruka number.
so,kila baada ya bao ,kuoga!