USA na mkakati wa kuivamia Iran

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,698
ninesoma habari ya kwamba eti shirika la kimataifa la nguvu za atomic limegundua uwepo wa kiwanda kisiri siri cha kurutubisha madini ya uranium chini ya ardhi katika nchi ya iran.
Na serikali ya marekan imetoa tamko ya kwamba huo ni uchokozi na hatua zinabidi zichukuliwe haraka sana.
Mimi naona kwamba marekani iko mbioni kuivamia iran kijesh na hizi ni propaganda.
 
NEW WORD ORDER is in progress.

Hawa US na westerns wanataka kuanzisha WORLD WAR THREE. kuna new sunction bill ilipigiwa kura july mwaka jana(ambayo kuna kipengele kinataka "any country that will trade with IRAN, automatically it will not trade with US").

hizi sunctions wamezitangaza mwishoni mwa mwaka jana(lakini kwa kuficha hicho kitu). HEBU ANGALIA RON PAUL anavyojaribu kueleza ubaya wa hiyo sunction bill

http://www.youtube.com/watch?v=9Xq96uPvaHE
 
Marekani na Israel hawajakanusha kuivamia Iran iwapo watahisi anataka kuunda siraha za nuklia.Lolote lawezekana lakini njia ya kidiplomasia ndio suruhisho la kudumu.
 
Nejad ni jeuri mazungumzo hayatafikiwa na ikiwa Israel na Marekani zinatetea maslahi muhimu ya kila mmoja wao.Stay tuned.......
 
NEW WORD ORDER is in progress.

Hawa US na westerns wanataka kuanzisha WORLD WAR THREE. kuna new sunction bill ilipigiwa kura july mwaka jana(ambayo kuna kipengele kinataka "any country that will trade with IRAN, automatically it will not trade with US").

hizi sunctions wamezitangaza mwishoni mwa mwaka jana(lakini kwa kuficha hicho kitu). HEBU ANGALIA RON PAUL anavyojaribu kueleza ubaya wa hiyo sunction bill

JULY 2010 - US HAS DECLARED START OF WORLD WAR 3 - YouTube

New "Word" Order ndio nini? Wala hakutakuwa na WWIII asikudanganye mtu! Mbona Libya mambo yalienda shwari? Iran iache kiburi, itapata kichapo cha mbwa mwizi!
 
swali nalo jiuliza nan kampa mamlaka marekan kuchagua nani wa kumiliki na kutomiliki siraha za nyuklia?
India ina siraha hizo na u.s.a ilimpa support kubwa katka mradi wa kutengeneza siraha hizo.
Na kama hazifai kutumika kwanini kila yenye hizo siraha isiziharibu kwanini uhifadhi kitu ambacho hutokitumia kamwe.
Kiburi cha irani ni kipi? Kupinga ubeberu wa marekani dhidi ya nchi changa?
 
New "Word" Order ndio nini? Wala hakutakuwa na WWIII asikudanganye mtu! Mbona Libya mambo yalienda shwari? Iran iache kiburi, itapata kichapo cha mbwa mwizi!

Kama Israel na US wameshindwa kudhibiti kikundi kidogo kabisa cha Hezbollah ambacho hakina hata serikali cha nchini Lebanon, wataweza kweli kukabiliana na Iran yenye backing toka China na Russia? Brother, Iran si sawa na Libya don't underestimate it. Waambie US na Israel wamalize kwanza ugomvi na Hezbollah kabla hawajaivamia Iran, otherwise kutakuwa na shida kubwa sana, kwa sababu Iran na ndo inawapa silaha za kisasa kabisa Hezbollah za kuwadhuru Israel!
 
swali nalo jiuliza nan kampa mamlaka marekan kuchagua nani wa kumiliki na kutomiliki siraha za nyuklia?
India ina siraha hizo na u.s.a ilimpa support kubwa katka mradi wa kutengeneza siraha hizo.
Na kama hazifai kutumika kwanini kila yenye hizo siraha isiziharibu kwanini uhifadhi kitu ambacho hutokitumia kamwe.
Kiburi cha irani ni kipi? Kupinga ubeberu wa marekani dhidi ya nchi changa?

Nitajibu hapo penye nyekundu, NI NGUVU YA PESA NDUGU YANGU, IRAN ATATANDIKWA VIZURI TU NA KIRAHISI SANA PENGINE KULIKO HATA LIBYA, NA HAKUNA CHA WW111 WALA NINI:eyebrows: YA KWETU MACHO!
 
West alliances wanafear nguvu inayozidi kukuwa ya kitechonology kwa taifa la iran...unajua 95% ya silaha za kijeshi ndani ya iran zinatengenezwa iran...jamaa wapo juu siyo taifa lala tena wachapa kazi...time will tell
 
Tumuombe Mungu tu kwa maaana ikitokea WW3 na sisi tutaathirika sana si jambo la kificho hata kidogo
 
New "Word" Order ndio nini? Wala hakutakuwa na WWIII asikudanganye mtu! Mbona Libya mambo yalienda shwari? Iran iache kiburi, itapata kichapo cha mbwa mwizi!


unajua tatizo sio nguvu za kivita kati ya iran na US. Hebu angalia jinsi RUSSIA NA CHINA walivyo invest iran. Sasa unategemea nini endapo china and russia interests zao zikiwa interfered?.

Na ulisha jiuriza kwanini hizi nchi mbili huwa zinazuia iran kuvamiwa kijeshi kwa kura ya veto?. Hebu jaribu kubalance infos kwa ku-google neno press tv.
 
Ndugu yangu Buchanan (sijui unamjua vizuri mmarekani huyo?)
Iran ikishambuliwa, itakuwa balaa ambayo haijawahi kutokea; mafuta yatapanda mara tatu kama si zaidi, biashara duniani itaathirika. Hapa kwetu usafiri, umeme, mbolea, vifaa na bidhaa za viwandani havitashikika, nchi itabomoka! Iran siyo Iraq au Libya, fanya utafiti kwenye mitandao, na msikilize Paul kwa makini.
 
Wapigane wasipigane, mapigano yao hayana faida kwangu.

Japo sina uhakika wa FAIDA UTAKAYOPATA WAKIPIGANA, nina hakika UTAPATA HASARA.....Vurugu za kiuchumi zitokanazo na kuvurugwa kwa mfumo mzima wa usambazaji wa mafuta na gas kwa kawaida athari zake zimekuwa zikitugusa sote; waliomo na wasiokuwemo.....

Kwahiyo kuumia utaumia tuuu!!!!! Issue siyo kufaidika pekee......Madhara jeee? Huyaoni??? USA wapunguze ubabe wakishenzi!!!! LIVE AND LET OTHERS LIVE should be the policy......
 
Ngoja tuone hawa jamaa watakapofikia, lakini ni kawaida sana Marekani kufuata wale wanoonekana ni kikwazo kwake.
 
Seven reasons not to bomb Iran
gholami20120109145513593.jpg


gholami20120109145819297.jpg
Iran's Mig-29 fighter jets
An American defense analyst has outlined several reasons why the US administration should not become involved in military confrontation with Iran.


Adam Lowther, a member of the faculty at the US Air Force's Air University, called on US politicians to consider options before deciding on a military attack against Iran.

1. Iran possesses what is likely the most capable military the US has faced in decades.

Lowther explained that Iran is not like Grenada, Panama, Somalia, Haiti, Bosnia, Serbia, Afghanistan or Iraq that the US invaded, adding that in all of these examples, the US military defeated an adversary incapable of competing with the US.

He also noted that the Iranian military is far more competent and capable and after watching the war in Iraq for a decade has a good understanding of US tactics and strategy.

The analyst said Iran's Navy is skilled in littoral combat and may be capable of closing the Strait of Hormuz for sufficient duration to wreak economic havoc. The recent naval exercises by the Iranian navy illustrate a clear strategy that would seek to close the strait while attempting to sink American combat vessels that enter the area. This would result in a significant loss of commercial shipping and cause the price of oil to skyrocket.

2. Unlike Iraq, Iran's Army and the Iranian Revolutionary Guards Corps will not lay down their arms at the first sight of US ground troops.

Lowther said that Iranian military forces watched Afghanistan and Iraq for lessons on how to defeat the Americans.

3. The Iranian Intelligence Ministry is among the most competent in the world.

According to the writer, the ministry has successfully hunted down anti-Iran elements over the past thirty years.

4. Lebanese resistance movement of Hezbollah can help Iran in a possible US war on Iran.

The defense analyst stated that should the US military attack Iran, Hezbollah, with three decades of experience fighting the Israelis, is likely to launch a series of counter-attacks.

5. Iran's cyber capabilities are impressive and growing.

Lowther wrote that an attack on Iran's nuclear infrastructure is likely to prompt a sustained cyber-attack unlike any we have seen. It will likely target critical data in the public and private sector and seek to wreak havoc, shut down systems, and destroy data.

6. The US military deserves a rest from war after a decade of intense combat operations.

Lowther reminded that how wars in Afghanistan and Iraq have taken their toll on American soldiers, their families, and the equipment they rely on.

7. A "limited attack" on Iran will likely escalate into a wider war, making it difficult for the US military to rest and refit.

The expert said even a focused strike against Iran's nuclear facilities will elicit a response well beyond "limited" US objectives.

The author in the end once again urged the US government to weigh all options before resorting to military conflict against Iran.

source:
http://presstv.com/detail/220140.html
 
Mavi yao
waakawavamie mama zao syria na kwingineko we
na kushauri usinshangilie wakivamiwa hawa na wewe unaweza kuwa mmoja wa marehemu mpwa usiombe kabisa iran chuma cha moto
 
marekani wababe kweli, mungu wanusuru iran kwa hilo mana watakao kufa wengi ni wale ambao hawana hatia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom