Usa green card-dv2013

Kwani Airtel imeletwa na wale waliokimbia nchi na kwenda kuwa watumwa nchi za watu? Si wabongo wenyewe tumefungua masoko yetu? Tatizo lako wewe unalazimisha vitu ili vi support hoja zako. Nimekwambia usilazimishe. Kama hoja dhaifu rudi na nyingine.

Wewe hata hujui Airtel ni ya nani despite all the handholding hapa.
 
Sijakutaka u prove wala ku support hoja zangu, again, tatizo hujui kusoma.

Nimeleta hoja, umeuliza ushahidi, nimekwambia dunia nzima nchi zinajengwa from within and without. Nikakupa uwanja utoe mfano wa nchi moja tu ambayo haipo katika mfumo huu, kitu ambacho kingekuwa rahisi sana kama hoja yako ingekuwa na mshiko, maana wewe umeniuliza nikutajie nchi, mimi nimekutajia dunia nzima, bado umeshindwa kunitajia nchi hata moja tu inayojengwa kutoka ndani tu.

Unapoandika "Halafu unaniuliza mimi nitaje nchi ambayo haijajengwa" unaonyesha hujui hata nilichokuuliza ni nini, sembuse ya kuwa na jibu.

Comprehension kazi.

Dunia nzima nchi zimejengwa toka lini? Labda wewe definition yako ya kujengwa ni tofauti na za wengine. Wewe umeshindwa kujibu swali na kwa hiyo hoja yako inabidi tu flush chooni. Jaribu tena.
 
Back
Top Bottom