US $ vs TSh.

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Jamani tusaidieni sisi wapangaji wa NHC ndani ya jengo la Golden Plaza -Posta. HUyu Joint venture wa NHC amesainisha wapangaji mkataba wa kulipia huduma za umeme wa TANESCO, maji ya kisima (yanachumvi kibao), na walinzi wasio na redio ktk US $. Tusaidieni tuende wapi ili tumtie hatiani kwani sisi na yeye tu watanzania, matumizi ya $ ametumia sheria ipi je, si ufisadi huu?
 
Back
Top Bottom