Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,583
It's being reported that Ray J is the one who found her dead in her hotel room at the Beverly (Hills) Hilton hotel....
sasa thread za wengine zimeondolewa kwa nini?
ohooooooooooo rip even though it is sad and we are gonna miss you
Zilikuwepo humu mkuu? Hebu nizitafuta kisha ni-merge na hii ya kwangu basi.
zilikuwepo mbili kabla ya hii yako..
na moja tumechangia mpaka post kumi....zimeondolewa ....na hatujui why....
Anything is possible, tusubiri, si inasemekana aliachana na drugs?very saad.....drugs are no joke......
Anaweza akawa alikuwa "Enabler"? maana hata uhusiano wao haujulikani, na huyo jamaa kuna wakati waligombana na fabolous, fabs alidai ni mtu wa hayo mavitu.Ray j asipoangalia 'ataisaidia polisi'.....