Us sends 100 combat troops to uganda as advisors

Haya Josef Kony, jamaa wanakuja hao njoo bongo tutakupokea

Hii si mara ya kwanza Marekani kujitutumua, waliwahi kutumia mpaka drones mbona hawakufanikiwa kumtia mbaroni Kony, hawa wana ajenda zao za siri huko kasikazini mashariki mwa Congo,Uganda na Sudan ya kusuni - kumbuka huko kwote kuna mafuta - hawa jamaa hawana nia thabiti ya kukomeza kikundi cha Lord Resistance Army, kwanza si threat kwa Marekani wala majirani wa Uganda, Kony ugomvi wake ni utawala wa M7 sasa Merikani inataka kusaidia nini mbona hawashughulikii Al Shabaab a.k.a ISIS ambao ni direct threat kwao?

Ukweli unabaki pale pale Marekani inataka kujingiza East and central Africa kujaribu kuzima influence za Uchina na Ufaransa, would you believe it? oh yes Ufaransa!

Viongozi wa Marekani ni binadamu wa ajabu sana, hawana cha urafiki, wanacho jali wao ni maslahi ya makampuni yao - hao wanataka kunyemelea Mineral Oil na gesi watajaribu kuchochea nchi zenye madini hayo wakorofishane na Uchina na Ufaransa ili wao wa take advantage - they are very calculating.
 
huu ndio mwishom wa Konyi

Mkuu kama nilivyo fafanua huko nyuma hakuna cha Kony wala nini sijui - nia ya Marekani ni kutaka kuchochea vurugu kwenye kanda ya Africa Mashariki na kati yenye mafuta na gesi wanataka kuwafanyia njama wa China na Wafaransa wawape makundi fulani mafunzo na silaha wajifanye magaidi wanao korofishana na Serikali za Uganda, Kasikazini Masharika mwa Kongo na Sudan ya kusini watahakikisha Serikali hizo zinapoteza muda mwingi kuwashugulikia waasi wa kuchonga huku makampuni ya Marekani ya mafuta na gesi yapate ulaini wa kuyaiba hiki ndicho kilicho tokea Iraq, Libya na Syria - hawa watu ni hatari sana.

Binafsi ningeshauri Maraisi wa nchi hizi tatu zenye utajiri wa nafuta na gesi wasikubari msaada wa kundi la wanajeshi wa Marekani kuja kutoa mafunzo, hao jamaa wana ajenda za siri hawafai kabisa, tutajikuta tunavurugiwa amani mpaka tujute kuzaliwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom