US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

Wajameni, itakavyokuwa, we can not stand alone without being affiliated/dependant to USA political and economic power in the world. We can call Bush, a devil and all bad names (actually he is, no doubt about that) but one thing for sure, we are with them or against them. And if against them we are finished!!!!.

Actually, to prefer evil to good is not in human nature; and when a man is compelled to choose one of two evils, no one will choose the greater when he might have the less, (Plato).

Let Bush visit our "holy" land, let listen to him and judge him the same way.


Courage is the first of human qualities because it is the quality which guarantees the others-Aristotle
 
Kwa kuwa Bush ameshahakikishiwa kuwa aje kuzuru hapa TZ,ni lazima atafika na hali ya usalama imeimarishwa kila kona ili aje kuangalia yale aliyoyatamani muda mrefu hapa kwetu.Hasa madini,mafuta na mbuga zetu za wanyama.

Ni ombi letu kwa Rais kuwa asiingie mikataba yoyote itakayompa GB kusomba mali zetu kupeleka America.Hasa mafuta,wanyama wetu na madini yetu,Tanzanite waliyosomba pale Mererani mbona inatosha kabisa.Wameua wana Apolo sasa basi.Hawa walimuondosha JONAS SAVIMBI,SADAM HUSSEIN itakuwa JK?Wakiruhusiwa kukaa tu hapa nchi haitawaliki hata kama mna utawala bora na waziri wake Sofia Mnyambi Simba.

Kinachonichekesha eti anakuja kusaidia miradi ya Ukimwi,maralia etc.hiki ni kichaka cha kujificha tena,kachutama kabisa.Mbona siku hizi siasa za mlengo huo zinaeleweka.Sera za BUSH na Uingereza zinajulikana tangu berlin conference 1884.

America imeitamani mali yetu sana,wanatafuta kila njia wajichimbie hapa.
Wafuatiliaji mliona mialiko ya safari za JK mwaka jana kwenda America kutafuta wawekezaji mpaka mwaka huu Arusha kutakuwa na mkutano mkubwa,wenyewe wajiita eti survillian...........kumbe!!!!!...

Tumeshavamiwa

Naunga 100% hoja ya PROF,pia barua hii ifike kwenye media kama bado??Pia ifike kwa Rais ajue wadanganyika wanajua,ingawa yeye na wana usalama wanajaribu kuficha tusishambulie dhumuni mahsusi la GB.
 
Haya ni majonzi kweli! Mie kwa sababu ndio itakuwa photo op, what the heck! Hii kama hapo juu ni Historia, labda wakati huu ataongea na waandishi wa bahari-Dar-es-Salaam, oops Habari. Lakini asiwe na wasi wasi-kwa kutafuta wana JF watasema nini- atajijiju. Kwani mageuzi ya Barack tayari yameshaanza kuonekana. Do we really need a public opinion just a few hours before a media coverage(if not blanket coverage)will cloud and saturise our space?

Haya ni majonzi ambayo yanaeleweka. Professor, take the dishonour, I am going to honor!

I beg to differ!
 
Bush hatatuletea kitu chochote! Na mimi nadhani sababu moja kubwa ni ya yeye kutaka kutalii maana atakaa siku 3 huko Arusha!
Hawa wanatuchora tu, na BUsh amekuja kuipamba Sullivan summit baada ya Andy Young kutumia connection yake na Wolfensohn na Rice ya kumleta hapa rais ili sisi tushangilie.
Atatuletea uwekezaji gani huyo failed president and the worst one in history! Hamna kitu! Mimi nasema huyo BUsh akija wala tusmtetemekee aende zake kwa amani!
 
Naomba kutofautiana na wachangiaje hapo juu. Hivi watanzania when SHALL we stop this pretence? Bush mbaya ila $$ yake nzuri? ennhh. Kwani Bush kawakosea nini watanzania? Is he the source of our misery and stupidity? Is he the one who has sold our natural resources at a give away price?, is he the one who has made the central bank personal company? au ndo alituma akina Balali na Lowassa kutuibia? denying our mothers and compatriots affordable health care? is he the one who raise our power tarrifs because of Richmond? and on and on...Bush msimchukie Bure. ITS WE TO BLAME AND WE ALONE!

We should stop getting our priorities wrong...! Our leaders do (for political expediency? hata sisi jamani wananchi?) ni kama mtu unaenda msituni simply because you have bullets..you start firing indiscriminately..hoping that one of the bullets will get your enemy...ever think of winning such a battle? Bila kujua adui yuko wapi? Its a big joke...

Again, Much as I respect people to air their views, but i dont see any substance kwenye hii argument ya mheshimiwa sana Profesa! ni zile bandwagon tuu, ambazo tumezoea kuzikia..watu kuandamana...Simply because....

Bush Karibu najisikie Nyumbani! Sisi mbaya wetu tunamjua siyo wewe! MAANA NA SISI KUNA WATANZANIA WAKO NCHINI KWAKO UMEWAKARIBISHA VYEMA NA OPPORTUNITY UMEWAPA...

Karibu.
 
I think the question should be what is the motivation behind Prof. Njozi harsh criticism? Is it patriotism, is it the sense urgency and fairness in international politics? Is there anything that US could do to make him change his mind that would not involve the Middle East? Why does he want Tanzania to align itself with the Middle East and not South America or Far East?

Is there something between the lines that we need to understand. I think there is more to his sentiments than what meets the eyes!
 
Hebu Jaribu kutofautisha maelezo ya fuatayo..


1.Mimi ni binaadamu kama binadamu wengine nili zaliwa hapa duniani kama binaadamu wengine….mawazo ya binaadamu wenzangu vyenye kujisifu kila kukicha yana nipa wajibu yakujitambua…Kwamba mimi ni binaadamu.

2.Mimi ni Muafrica kama wa Muafrika wengine Nilizaliwa hapa Africa kama Waafrica wengine..Mawazo ya Kiafrica yenye kujisifu kila kukicha yana nipa wajibu wakujitambua ..kwamba mimi ni Muafriaca..

3.Mimi ni Matanzania kama Watanzania wengine nilizaliwa hapa Tanzania kama watanzania wengine mawazo yenu yenyekujisifu yana nipa wajibu wakujitambua kwamba mimi ni Mtanzania…

1.Mimi ni Binaadamu
Mimi ni binaadamu tofauti na viumbe wengine wanaopatikana Duniani..Utofauti wagu unatokana na jinsi ninavyo ishi tu..ila nina kufa kama viumbe wengine wanavyo kufa..ningekua Tembo ninge sema mimi ni tembo tofauti na viumbe wengine wanao patikana duniani utofauti wangu ni jinsi ninavyo ishi tu..ila nina kufa kama viumbe wengine wanavyo kufa..

Hakuna maana yakumchukia kiumbe mwengine kwasababu ya muanekano wake tu..Ndivyo alivyo!. Na ni ndivyo ilivyo ,.lakini kwakua mimi ni Binaadamu na nina hekima ya kumtambua adui yangu ,..Basi nita bakia kua mjinga kama nitapenda mdudu wa marelia..eti kwasababu ni kiumbe kama viumbe wengine.

Nitamuua na kumangamiza !!..lakini sijui kama baktelia wa marelia anajua anacho kifanya!!..nitashilikiana na Binaadamu mwenzangu kukuangamiza adui wa maisha yangu..na maendeleo yangu.

Labda, na ina wezekana mimi Binaadamu ni adui wa viumbe wengine tena nina hatarisha maisha yao..wao kwa tofauti zao kama wao wanavyo harisha maisha yangu………..Nafikiri .na wao wana haki ya kuniteketeza!! …Lakini mwenye haki Zaidi ni mimi,, …Dhidi ya virusi vya ukimwi..
-manufaa ya magonjwa katika maendeleo ya mwanadamu-

Kutokana na akili hii niliyo nayo hainipasi kumuona Binaadamu mwenzangu ni adui..lakini Nitakua mjinga kama nikishindwa kufikiria hivyo!!

2.Mimi Ni Muafrica
Mimi ni Muafrika tofauti na watu wengine wanao patikana duniani,! Kwasababu nina ishi Africa!!Utofauti wangu unatokana na Historia yagu..tu Ningekua Mjapani ninge waza hivyo hiyo..kwasababu histolia ina nipa wajibu kujitabua hivyo..

Mimi ni Muafrica Lakini sijui Africa maana yake ni nini? Na hata niki jua maana yake haita zidi thamani ya ubinaadamu wangu..!Mmarekani anaweza akajiuliza hivyo hivyo..
Na bado ataona maana ya jina la nchi yake halina maana zaidi ya ubinaadamu wake..

Na sisi sote ni wa moja,
Na tofauti zetu ndizo zinazo weka pamoja.

Hata kama Africa isinge gawanywa kama mshamba..tayari makundi ya binaadamu wa kiafrica yalikua yamesha Gawanywa-jigawa kwa lugha.*makabila,koo,.na tena ni kazi/ ni kazi kufikiri ...leo ingekuaje, kuwiana na hivyo unavyotaka wewe!!…muda una mpa Binaadamu wajibu ..Bila binaadamu walio waza kutawala nyakati hizo basi kusingekua na Rwanda na Burundi ….

Bila ya ujinga wa zamani hakuna maendeleo ya leo na ujinga wa leo ni kichekesho cha kesho. Kama una laumu maendeleo ya leo basi jua alie tangulia alikosea. Siwezi kulaumu Taifa la Marekani kwa kuishambulia Japani kwa bomu la atomic ila nina mshangaa huyo Binaadamu mwenzangu alie fanya hivyo..!! ni ajabu.!!.

Alihofia nini kutoka kwa Binaadamu wa Kijapani …..tena Nyakati Hizo!!?..

Binaadamu wa Africa Nilikua wapi? Nilishindwa nini Kumshambulia Binaadamu wa Amerika Kwa Atomic? Ni kazi ngumu kudhani haya ninayo hoji ni ujinga…lakini kumbuka kulikua na Viumbe wengine pamoja na watoto wao wasio jua lolote!!

Lakini..nao walikatishwa maisha yao..Watoto wasio kua na uadui miongoni mwao pia walikufa…

Lakini huu sio mfano pekee wa kuonyesha roho mbaya aliyo nayo Binaadamu.
Ipo mifano mingine inayo onyesha Upumbavu wa Mwanadamu..mfano Mwingine ni hasa pale Binaadamu anapo taka kumiliki kila kitu kiwe chake!!..huku akibaki mjinga bila kujua kuna viumbe wenzake wanao hitaji kutoka kwenye hivyo anavyo taka viwe vyake…

Siwezi kuilaumu Marekani kwenye vita thidi ya Ugaidi..Kwasabau historia ina onyesha ni mazoea yao..lakini Ninasikitika kwasababu wanaokufa sio magaidi..ni vimbe visivyo kua na hatia..
Anae taka kuku ua hakai mbali na wewe..Hakika anae mjua Gaidi ana mazoea nae.na inawezekana alimfundisha.

Mimi Muafrica Sipendi Binaadamu mwenzangu anione Gaidi..na hakika Imani ya kigaidi haina nafasi Africa..kama ilikuwepo iwe ni ujinga wa zamani..

Binaadamu mnao ishi China, India, korea Indonesia, Taiwani,Mongolia,na kote ASIA Mnakaribishwa Africa..

Hakuna haja ya kumchukia Raia wa marekani kwasababu labda Hata hajui unachukia nini…Mimi Muafrica sina haja ya kukuchukia wewe ni wasababu gani nikuchukie…labda hata ujui ninachukia nini…Na Msinifundindishe Kumchukia Binaadamu mwenzangu kwa Maslai Yenu..

Lakini nitakua mjinga endapo nita shindwa kuzitambua Tabia Hatari na adui wa usalama wa maisha ya kizazi changu..nita wachukia mmoja mmoja mongoni mwenu..lakini sio kwa ujumla wenu..

Africa sio sehemu ya Vita

3.Mimi ni Tanzania
Karibu Tanzania Hakuna matata….sipendi kugombana na mtu yeyote …sina Adui labda uwe wewe.. Tofauti na Magonjwa..Ujinga…mafisadi…mambo mengine haya kuhusu..

/Kwasababu sikujiona huru wakati majirani zangu bado wanatawaliwa…/
 
I think the question should be what is the motivation behind Prof. Njozi harsh criticism? Is it patriotism, is it the sense urgency and fairness in international politics? Is there anything that US could do to make him change his mind that would not involve the Middle East? Why does he want Tanzania to align itself with the Middle East and not South America or Far East?

Is there something between the lines that we need to understand. I think there is more to his sentiments than what meets the eyes!


Mwanakijiji,

you are right, we have to question both sides motives however, i may have an inkling of why Njozi may have harsh criticisms for Bush'e visit. I hope you recall the mwembechai saga. Well the result of that was Njozi and some other professors and intellectuals writing up a document that heavily criticized the US. This did not sit well with the US and the embassy back home so much that the embassy and the US national security dept had issued a 'black' list of people from Tanzania who should never set foot on US soil. Njozi is said to be at the top of this list.

Regardless of any seminal, research, academic work or invitations that he might get to come to the US, he can never be given a visa.

There is a probability of this as an implication however, I have still got to finish reading his paper. He sent it out through email yesterday.

we can continue the discussion. I would like to know what we as Tanzanians think of this.
 
Surely let Bush visit Tanzania although his four day stay raises eyebrow. He has never been to the UK for such a long duration. We should only warn our president that we do not want to be involved in Bush's military expediencies. America, since our independece, has never helped us economically. So what's behind the screen. We lost our friends in the embassy bombing, we have enough problems without protecting American global interest. Bush go to Darfur for 4 days and we will understand you.
 
On the other side of this is why does Njozi want URT to align itself with the Middle East? Comparatively, what is there to gain from the Middle East that we can not get from the West or the Far East? Isn't it a natural inclination throughout human history that weaker nations have always aligned themselves with more powerful nations either by choice, trickery, or force?

Nations don't align themselves with other weakder nations, they can be friends but katika mambo makubwa.. mataifa hujipanga na mataifa makubwa zaidi yao.
 
Surely let Bush visit Tanzania although his four day stay raises eyebrow. He has never been to the UK for such a long duration. We should only warn our president that we do not want to be involved in Bush's military expediencies. America, since our independece, has never helped us economically. So what's behind the screen. We lost our friends in the embassy bombing, we have enough problems without protecting American global interest. Bush go to Darfur for 4 days and we will understand you.

mine were raised the moment I heard the news of his visit but I am now afraid that I cannot bring them down since I heard about the length of his visit! I am trying to comeup with some reasonable explanation for this lengthy vivst that I think will not focus on any of the Tanzanian interests. Have they put out a timetable of what he will be doing in Tanzania?? Is it a matter of national security?

I was wondering if his timetable went like this:

DAY ONE
night- way past midnight ARRIVAL

DAY TWO
Morning- meeting with Kikwete

afternoon - Visit to the US Embassy

DAY THREE
Morning - visit kibamba or a kibaha whatever project

afternoon - fly over Kilimanjaro and sleep in Zanzibar

DAY THREE
Morning - go to Serengeti /Mikumi national park take pictures

afternoon - have dinner with kikwete and leave at midnight.


or something to that effect. Anything beneficial? Remember all roads leading to DSM will be impassable for the whole four days. I think they should call for a public holiday? Remember when Laura Bush came??

mmmh! Makubwa haya!
 
Ninamkaribisha ndugu Bush nchi Tanzania kwa mikono miwili. Na sioni kuwa anafanya makosa. Rais wa Tanzania JK amezuru nchi Marekani kwa zaidi ya mara tatu katika kipindi cha miaka miwili na amefanya hivyo kwa maslahi ya nani? Ya Tanzania.

Kuna watu mnatoa mifano ya China na India. Hey nchi hizo zina uhusiano wa kimaslahi na Marekani. Masoko ya bidhaa na huduma mbalimbali ya nchi hizo yanategemea Marekani.

Kama makosa aliyafanya kuvamia Iraq, tunaweza kukubaliana naye kuwa alifanya makosa lakini makosa hayo yasizuie ziara ya kiongozi wa nchi hiyo kwetu Tanzania. Ni mwezi uliopita Rais huyo alifanya ziara katika nchi mbalimbali za Kiarabu. Kama waarabu wanaweza kumkaribisha kwanini sisi tukatae? Naona tuna double standards hapa.

Kwa matatizo yanayotokea Darfur. Ningetegemea watanzania kuwa wakali kwa viongozi wa China wanao-support uongozi wa nchi hiyo lakini mpaka sasa wanaoitwa Ma-intellectuals wetu wamekaa kimya. Na wanakaa kimya kwa sababu ya kiwanda cha Urafiki, ujenzi wa Tazara na lambalamba nyingine kutoka Uchina.

Bush kama rais wa Marekani ametoa misaada mingi ya kupambana na Ukimwi kuliko kiongozi yoyote. Hata Clinton kipenzi wenu hakufanya hivyo. Kwa sababu ni Republican na Vita vya Iraq, mnasahau juhudi alizofanya.

Na kuhusu kumzuia Balozi wa Marekani asije UDSM, huo ni ufukara wa kimawazo. Katika ardhi ya taaluma mtu hakataliwi kutoa mawazo yake. Rais wa Iran pamoja na sera zake mbaya alipesa ruhusa ya kuzungumza na jumuia ya Columbia University. Huo ni mfano unaotakiwa kuigwa.
 
For me I truly welcome Mr President of United States Of America in Tanzania.

Actually for his four day visit I take it as as sign of gesture for all critics like Prof. Njozi and Mr Bush's prensence in Tanzania will be the matter of formalities as every page of contracts and agreements of understanding would have already been signed in Washington by our government some days or months or years ago.

Prof Njozi's criticm come out of nothing. His opinions or words are just signs of anger or frustrations.

If he goes back to history of World War One and Two, he would learned that America was behind all the moves and later rewarded all countries like Greece, Poland,and Hungary and of course UK with finacial assistance to recover from those wars only for them to remain true allies so why not Tanzania?

There is another scramble for Africa today, Africa at most been the victim of its own history. All sides of the globe there is China and India and also emerging economies of Brazil and South Africa.

So as the world superpower America has that sense of feeling that they should have share in this scramble for wealth coming from Coal, Crude Oil and Minerals.

Also the new World Order Strategy is laready in progress as America has its bases in Diego Garcia and Djibuti.

Americans still believe that Africa is the new breed for terrorists so why not stay closer to the nests?

But the significance of Djibuti base is to control enemies of USA wherever they are and Tanzania is among the beneficiaries because we have that long cost streching from Kilwa to Pemba and later joining Mombasa, Lamu and Kismayu.

The benefits will be among all the new military technology and equipment and a chance to develop our army bases within the country.

Naomba kutoa hoja.
 
Ziara ya Rais Bush Tanzania yawagawa Waislam
Na Muhibu Said

MAANDALIZI ya maandamano ya amani yaliyoandaliwa na Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania kwenda Ubalozi wa Marekani nchini kulaani ziara ya Rais wa nchi hiyo hapa nchini, George W. Bush yamevurugika baada ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu Issa bin Shaban Simba kuwataka Waislamu kupuuza maandamano hayo.


Pia Kamati ya Kuokoa Mali za Waislamu Tanzania na taasisi ya Taibah Haji Umra and Social Services Trust, zimeungana na Mufti Simba ambaye ni kiongozi mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kuwataka Waislamu kupuuza maandamano hayo.


Akizungumza na waaandishi wa habari kwenye Makao Makuu ya Bakwata, jijini Dar es Salaam jana, Mufti Simba alisema yeye kama kiongozi anayewakislisha Waislamu nchi nzima anaunga mkono na kuheshimu ugeni wa Rais Bush nchini kwa kuwa amealikwa na Rais Jakaya Kikwete na una manufaa makubwa kwa nchi.


�Mimi kama kiongozi wa Waislamu nimeona nisikae kimya kwa kuwa mwaliko huo ni wa serikali. Hatuna budi kwanza kumpongeza Rais Bush kwa kutembelea nchi yetu,� alisema Mufti Simba na kuwataka Watanzania kutambua kuwa si Waislamu wote wanaopinga ziara hiyo ya Rais Bush kuja nchini.


Kauli hiyo ya Mufti Simba, imetolewa siku moja baada ya Jumuiya na Taasisi za Kiislamu kuitisha maandamano ya amani kesho kulaani ziara ya Rais huyo kwa madai kwamba ana uadui mkubwa na Uislamu na Waislamu duniani kote.


Alisema anawashangaa Waislamu wanaolaani ziara hiyo, wakati Rais Bush ameshatembelea nchi nyingi za Kiislamu duniani zilizosheheni masheikh, lakini alipokewa kwa heshima zote za dini hiyo.


Mufti Simba alisema ziara ya Rais Bush haipaswi kubezwa kwa kuwa itawanufaisha Watanzania kwa mambo mbalimbali, ikiwamo kusaidia vita dhidi ya ugonjwa wa malaria nchini.


�Hata akija mchezaji wa mpira kuna manufaa kwa wachezaji,� alisema.


Alisema serikali ya Marekani imekuwa ikitoa uhuru mkubwa wa kuabudu pamoja na misaada mbalimbali kwa Waislamu wa nchi hiyo, kinyume na baadhi ya watu wanavyoitazama vibaya.


�Kwa mfano, Jimbo la Florida (lililoko Marekani) liligawiwa kontena sita za misahafu na kuna Waislamu wengi wa Marekani waliokwenda kuhiji mwaka huu,� alisema Mufti Simba.


Kutokana na hali hiyo, aliwataka Waislamu kuepuka kufuata mkumbo wa siasa za kimataifa za kuichukia Marekani, badala yake wajitokeze kwa wingi katika mapokezi ya Rais Bush anayetarajiwa kuwasili nchini kesho kutwa, ili kuonyesha heshima kwa mgeni huyo na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete.


�Tujitokeze tumpokee kwa shangwe. Waislamu na Watanzania wote nawaomba wadhihirishe kuwa Rais wetu hakufanya mchezo wakati anamwalika Rais Bush kuja nchini,� alisema.


Wakati Mufti Simba akitoa wito huo, Kamati ya Kuokoa Mali za Waislamu Tanzania, imewataka Waislamu kupuuza maandamano hayo kwa madai kwamba hayataleta natija kwa Uislamu, Waislamu na nchi kwa jumla.


Katibu wa Kamati hiyo, Sheikh Khalifa Khamisi alisema kupitia taarifa ya kamati hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana kuwa kamati inapinga maandamano hayo kwa kuwa yanakusudia kumfedhehesha Rais Kikwete aliyemwalika Rais Bush kwa niaba ya Watanzania.


Alisema Jumuiya na Taasisi iliyoandaa maandamano hayo, imewafedhehesha Waislamu kwa kiasi kikubwa, kwa kuwatetea mahabusi wanaoshikiliwa katika gereza la Guantanamo Bay, nchini Cuba.


Alisema mahabusi hao wanashikiliwa kwa madai ya kuhuka na ulipuaji wa majengo mawili ya Kituo cha Kimataifa cha Biashara Marekani na kuua maelfu ya watu wasiokuwa na hatia, wakiwamo Waislamu.


Alisema sababu zilizotolewa na Jumuiya na Taasisi za Kiislamu za kupinga ziara ya Rais Bush kuja nchini, hazina maana na kwa hiyo hawapaswi kuungwa mkono hata kidogo.


�Wanadai kwamba ziara yake ni kutaka kuweka kituo cha kijeshi hapa nchini jambo ambalo si kweli. Lakini mbona Jumuiya hiyo haijaitisha maandamano kupinga kwanza vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyopo katika nchi za Kiislamu ikiwamo Kuwait, Saudi Arabia, Oman, Qatar na kwingineko ambavyo vilitumika kuisambaratisha Iraq,� alisema Sheikh Khalifa.


Alisema Rais Bush ambaye sera zake hazifai, ameshafanya ziara katika nchi za Kiislamu, ikiwamo Saudi Arabia na kupokewa na Mfalme Abdallah ambaye ni Mdhamini Mkuu wa misikiti mitakatifu ya Makka na Madina na kuvishwa joho.


�Kikundi hiki kila mwaka wakati wa kufunga na kufungua Ramadhan hufuata matangazo ya Saudi Arabia na ndiko aliko kiongozi wao, inakuwaje tunakataa kuiga mfano wa Saudi Arabia ambayo ni nchi ya Kiislamu ambayo Rais Bush ameitembelea kabla ya kuja hapa,� alisema.


Hata hivyo, Sheikh Khalifa alisema mauaji dhidi ya maelfu ya watu, kupora mafuta Iraq, kuvunja hospitali na misikiti nchiniAfghanistan, mauaji ya masheikh Pakistan, kukamata masheikh Tanzania na kutesa Waislamu katika gereza la Guantanamo vinavyodaiwa na Taasisi na Jumuiya za Kiislamu kufanywa na serikali ya Marekani, havistahili.


Wakati huo huo Taasisi ya Taibah Haji Umra and Social Services Trust, imewasihi Waislamu kutofanya au kushiriki maandamano hayo ikisema kuwa hayatawafaidisha Waislamu.


Tuma maoni kwa Mhariri
 
Jamaa anakuja kutalii na kuangalia wanyama, sisi tunajisifu amekaa muda mwingi kwetu kwa sababu "tunapendwa zaidi!" Utadhani kama wake wenza hivi!!!!!! Oouuugh.

Tumetekwa akili ile mbaya.
 
Bin Maryam.. you statement is at the heart of the letter.

Prof Njozi's criticm come out of nothing. His opinions or words are just signs of anger or frustrations.

Is there anything that US can do that doesn't involve the Middle East that Prof. Njozi will appreciate?

Mfano wako wa China ni mfano mzuri sana, kwamba kwanini basi asipige kelele kuhusu uwekezaji wa Wachina lakini ule wa Wamarekani unamuuma zaidi?
 
Bush aje kutembelea Tanzania na Njozi ana haki ya ku-protest ujio huo ili hata chochea ghasi. Ndio demokrasia hiyo. Kwanza nadhani Bush atafurahia kuona/ kujua kuna watu Tanzania wenye maoni tofauti. Njozi ana haki zote za kuota Njozi zake na Bush anakaribishwa Tanzania.
 
I RECEIVED THIS FROM A FRIEND

We learn from history only that we do not learn from history!!

Serious food for thought!!

A man whose family was German aristocracy prior to World War II owned a number of large industries and estates. When asked how many German people were true Nazis, the answer he gave can guide our attitude toward fanaticism.

'Very few people were true Nazis,' he said,' but many enjoyed the return of German pride, and many more were too busy to care. I was one of those who just thought the Nazis were a bunch of fools. So, the majority just sat back and let it all happen. Then, before we knew it, they owned us, and we had lost control, and the end of the world had come. My family lost everything. I ended up in a concentration camp and the Allies destroyed my factories.'

We are told again and again by 'experts' and 'talking heads' that Islam is the religion of peace, and that the vast majority of Muslims just want to live in peace.
Although this unqualified assertion may be true, it is entirely irrelevant.
It is meaningless fluff, meant to make us feel better, and meant to somehow diminish the spectre of fanatics rampaging across the globe in the name of Islam. The fact is that the fanatics rule Islam at this moment in history.

It is the fanatics who march. It is the fanatics who wage any one of 50 shooting wars worldwide. It is the fanatics who systematically slaughter
Christian or tribal groups throughout Africa and are gradually taking over the entire continent in an Islamic wave. It is the fanatics who bomb, behead, murder, or honor kill. It is the fanatics who take over mosque after mosque. It is the fanatics who zealously spread the stoning and hanging of rape victims and homosexuals. The hard quantifiable fact is that the 'peaceful majority,' the 'silent majority,' is cowed and extraneous.

Communist Russia was comprised of Russians who just wanted to live in peace, yet the Russian Communists were responsible for the murder of about
20 million people. The peaceful majority were irrelevant. China's huge population was peaceful as well, but Chinese Communists managed to kill a staggering 70 million people.

The average Japanese individual prior to World War II was not a warmongering sadist. Yet, Japan murdered and slaughtered its way across
South East Asia in an orgy of killing that included the systematic murder of 12 million Chinese civilians; most killed by sword, shovel, and bayonet.

And, who can forget Rwanda, which collapsed into butchery. Could it not be said that the majority of Rwandans were 'peace loving?'

History lessons are often incredibly simple and blunt, yet for all our powers of reason we often miss the most basic and uncomplicated of points:
Peace-loving Muslims have been made irrelevant by their silence.

Peace-loving Muslims will become our enemy if they don't speak up , because like my friend from Germany, they will awaken one day and find that the fanatics own them, and the end of their world will have begun.

Peace-loving Germans, Japanese, Chinese, Russians, Rwandans, Serbs, Afghanis, Iraqis, Palestinians, Somalis, Nigerians, Algerians, and many others have died because the peaceful majority did not speak up until it was too late.

As for us who watch it all unfold; we must pay attention to the only group that counts; the fanatics who threaten our way of life.

Lastly, at the risk of offending, anyone who doubts that the issue is serious and just deletes this email without sending it on, is contributing to the passiveness that allows the problems to expand. So, extend yourself a bit and send this on and on and on! Let us hope that thousands, world wide, read this - think about it - and send it on.
This is really why our troops are overseas protecting our shores.
 
Ninachostaajabia kuhusu safari hii ni zile pilika kama za Mitume wa Yesu walivyopiga "Hosana anakuja mfalme, tandazeni nguo barabarani"! Hizi pesa za kusopu sopu Dar na Arusha zimetoka wapi? Nafahamu methali ya Kiswahili isemayo "Mgeni njoo, mwenyeji apone" sasa akishaondoka ndio Kimbisa na timu yake wataacha kufagia barabara na kuzoa takataka?

Hawa ndugu zangu wenye kutaka kuandamana kupinga hii ziara, mbona hawakuandamana tulipopewa lile cheki kubwa la MDC na Dada Mchele?
 
Back
Top Bottom