Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
Ok la mafuta we are on the same page right now.
Kuhusu historia ya nchi. Unajua nchi yoyote haiwezi kubaki juu siku zote. Kuna
Wamisri na falme za West Africa ambao ndiyo walikuwa watu wa kwanza kuwa na vyuo vikuu na watu walikuja mbali kupata elimu mfano Timbaktu. Kukaja Wagiriki na Warumi waka tawala dunia na kuwa mataifa yenye nguvu mwishoni yakafa. Persia which includes hiyo Iran chini ya Alexander the Great wali tawala 1/3 ya dunia. Wakaja Uingereza wakawa na territories zinazo fikia 2/3 ya dunia lakini nayo ika pungua nguvu na kuipisha Marekani.
Kama nilivyo sema mwanzo Marekani kama Marekani ime zaliwa miaka 200 na iliyo pita. Kuna nchi kama Canada iliyo zaliwa 1867. Kuna nchi pia kama Australia ambayo Waingereza waliitumia kutupa wahalifu wao huko.
Okay...hapo umetaja Marekani, Canada na Australia. Hizi nchi zin kitu fulani kilicho very common....supression of the indiginous peoples. Hao watu walioleta maendeleo huku yanayowafanya wameremete mpaka sasa ivi ni wazungu waliotoka Uingereza. Ndo maana wakati mwingine wana-refer to England as the motherland. Hawa watu walipokuja, waliwatawala indiginous people wa hizo nchi, mpaka leo, wameishia kutupiliwa mbali. Angalia Red Indians marekani, Canada, na Aboriginals Australia. Nasema uongo? Yani ukitoa uraia...wana links zote na Uingereza. Kwa hiyo maendeleo ya hizo nchi yameletwa kutokana na culture na traditions za hawa watu walizozileta kutoka Uingereza, au sio? Taja nchi nyingine, ambayo haina link yeyote na Uingereza. Ungeniambia Russia..., hapo sijui mengi sana juu yao. Lakini nayo ni nchi iliyochoka ukienda vijijini mwao. Status yao ya developed inatokana sana na Cold War era!