US Marine soldiers urinating on dead bodies!

Sio hivyo Mr. Ally kombo, ninachoshangaa ni kuwa watu mbona hawalaani kwa nguvu vita na wanaovianzisha badala yake wanalaani tukio la kuidhalilisha maiti! Kipi kinaathirika na udhalilishaji kati ya walio hai na maiti? Kinachoonekana ni uchizi wa aliyekuwa anakojolea maiti otherwise maiti haithiriki kabisa na tendo hilo lakini wafungwa ktk jela wanaathirika sana na udhalilishaji wanaofanyiwa maana wana akili zao timamu.

Kutokemea kimoja haina maana kuruhusu kingine!
-Haifai kuwaadhabu mateka wa kivita!. Marekani yenyeye ilikuwa wakwanza kuwahadharisha Wairakaq chini ya utawala wa late Sadam Hussein katika mateka wa kwanza wa Kimarekani. Lakini tazama walivyowafanya wafungwa wa mateka ya Ki Iraq kula jela za Abu Ghureir. Hiyo Geneva Convetion ni yao tu na sio ya wengine?.
- Wale walio uawa ovyo kama vile kumharibu binti mdogo na kumuua yeye na familia yake kisha kuwachoma moto walifanywa nini? Je hao watu ni binadaamu au wewe unaona ni mizoga tu amaboa hawana haki na wasijitetetee baadaye? Wache wale waliua ovyo vila kujali watoto na wazee.
- Kuhitimu sasa hata Maiti kukojokea ?

Ni aibu kuona watu katika blogu hii wakijaribu kutafuta vijisababu vya kutetea. Madhali wanapesa nyingi over 400 billion dollars on Army ziwe zao ama za kukopa kutoka China basi vita havitakwisha.. basi hata vikiwepo basi ni bora kidogo wauonyeshe huo ustaarabu na Ucivilisation na u-human right wanaojigamba nao. Mimi naona ule ule u Cow boy tu! . These solders needs to be told to respect other humans or put on account not cosmestic like what they did in Iraq.
 
Shame on you US soldiers for urinating on dead bodies.
That is not good, that is not right, that you have done is against God.
 
Kutokemea kimoja haina maana kuruhusu kingine!
-Haifai kuwaadhabu mateka wa kivita!. Marekani yenyeye ilikuwa wakwanza kuwahadharisha Wairakaq chini ya utawala wa late Sadam Hussein katika mateka wa kwanza wa Kimarekani. Lakini tazama walivyowafanya wafungwa wa mateka ya Ki Iraq kula jela za Abu Ghureir. Hiyo Geneva Convetion ni yao tu na sio ya wengine?.
- Wale walio uawa ovyo kama vile kumharibu binti mdogo na kumuua yeye na familia yake kisha kuwachoma moto walifanywa nini? Je hao watu ni binadaamu au wewe unaona ni mizoga tu amaboa hawana haki na wasijitetetee baadaye? Wache wale waliua ovyo vila kujali watoto na wazee.
- Kuhitimu sasa hata Maiti kukojokea ?

Ni aibu kuona watu katika blogu hii wakijaribu kutafuta vijisababu vya kutetea. Madhali wanapesa nyingi over 400 billion dollars on Army ziwe zao ama za kukopa kutoka China basi vita havitakwisha.. basi hata vikiwepo basi ni bora kidogo wauonyeshe huo ustaarabu na Ucivilisation na u-human right wanaojigamba nao. Mimi naona ule ule u Cow boy tu! . These solders needs to be told to respect other humans or put on account not cosmestic like what they did in Iraq.
Naungana nawe kupinga vikali na kushambulia unyanyasaji wowote wa binadamu. Nashukuru umesema kuwa kukalia kimya kosa moja hakulifanyi halali lile la pili. Sasa tuungane ktk kukemea udhalilishaji wa binadamu waliohai halafu udhalilishaji wa maiti utakwisha automatically. Lakini kama tumekaa kimya kwenye kudhalilisha mtu hai lakini tunachachamaa kwenye maiti maana yake kumdhalilisha binadamu hai sio shida kwetu, which is not true!
 
Perry: Marines in video are 'kids,' not criminals

WASHINGTON (AP) - Republican presidential hopeful, Texas governor Rick Perry, is accusing the Obama administration of "over-the-top rhetoric" and "disdain for the military" in its condemnation of a video that purportedly shows Marines urinating on dead bodies in Afghanistan.
No one has been charged in the case, but officials in the U.S. and abroad have called for swift punishment of the four Marines.
A military criminal investigation and an internal Marine Corps review are under way. The Geneva Conventions forbid the desecration of the dead.
Perry tells CNN's "State of the Union" that he thinks the Marines involved should be reprimanded, but not pursued with criminal charges.
Perry said "18, 19-year-old kids make stupid mistakes all too often and that's what's occurred here."

Source: http://news.yahoo.com/perry-marines-video-kids-not-criminals-143205193.html
 
Back
Top Bottom