Us Embassy msaada

debon

Senior Member
Oct 6, 2011
134
62
Jamani naombeni msaada jinsi ya kufika Us embassy nikitokea mwenge. Nishuke kituo gani. Please help
 
Shuka moroco jengo la airtel ukifika stand hapo uliza hao machinga watakuambia fuata hyo barabara inaenda drive inn utaona jengo la zantel unaenda njia ya kulia na si moja kwa moja hapo mbele utaona jengo zuri ndio hapo hapo!
 
Nashukuru sana ubarikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom