Elections 2010 US:Election Leo Results Leo=Tz Election leo Results: Wiki Ijayo!!

VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
785
Yaani hata Hapa US wameanza kupiga kura za mid-term elections leo na matokeo ni leo leo. Tanzania watu wameanza kupiga kura Jumapili na hadi leo J'nne results za kueleweka hakuna. NEC mnapika matokeo? Ama ndio KASI PYA, WIZI MPYA NA MAENDELEO MAPYA?Mkwere na CCM mna kazi sana.
 
CCM wanaweza kusema Tanzania ni kubwa kuliko Marekani. Jiografia yao hiyo si unasikia eti Segerea enao la jiografia ni kubwa kuliko Bukoba Vijijini. Wana vipimo vyao wanavyojua wao
 
Tuwe realistic, US wako mbali kwenye technologia etc hatuwezi kujilinganisha na lakini ukweli ni kwamba NEC wako chini ya JK
 
Haya pumba hizi, Utawezaje kulinganisha U.S na Tanzania? U.S wanapiga kura electronical wakati sisi tunatumia Kalamu na karatasi, Unaona tofauti hii? kama vipi rudi kwenu uunde tume yako ya kuhesabu kura.
 
Mpenzi, watu tumepiga kura hapa UK (last May0 kwa Kalamu na karatasi, kesho yake mchana tulikuwa na matokeo ya nchi nzima na zoezi la kupiga kura lilimalizika saa nne usiku. Kweli unataka kuamini kwamba kuhesabu kura za Segerea zinakuchua siku tatu!!!!
 
Haya pumba hizi, Utawezaje kulinganisha U.S na Tanzania? U.S wanapiga kura electronical wakati sisi tunatumia Kalamu na karatasi, Unaona tofauti hii? kama vipi rudi kwenu uunde tume yako ya kuhesabu kura.
Wewe ndie pumba!
Kuhesabu hizo karatasi haichukui zaidi ya masaa manne. Acha ujinga
 
Haya pumba hizi, Utawezaje kulinganisha U.S na Tanzania? U.S wanapiga kura electronical wakati sisi tunatumia Kalamu na karatasi, Unaona tofauti hii? kama vipi rudi kwenu uunde tume yako ya kuhesabu kura.

Acha ujinga!
Hela ya kuitergrate electronic voting system hatuna lakini hela za EPA na Radar zipo? Kuhesabu hizo karatasi inachukua a few hours na sio days. Shwaini wewe
 
Tuwe realistic, US wako mbali kwenye technologia etc hatuwezi kujilinganisha na lakini ukweli ni kwamba NEC wako chini ya JK
Basi hata kuhesabu hizo karatasi na ku-tally hayo matokeo ni issue?
 
Acheni kutukanana. Ni ukweli usiofichika kwamba matokeo yamecheleweshwa bila sababu zinazoeleweka kwenye baadhi ya vituo.
 
Back
Top Bottom