Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 184
Mkuu Joka,
Heshima mbele, US ni Capitalist State, kwanza biashara halafu the rest of the story, katika huu uchaguzi mzima kuna one factor kuweza kuuza biashara za media, nayo ni kuwapiganisha Hillary na Obama,
Mwanzoni, ilikuwa ni bisahara nzuri kuwapiganisha Hillary na Giuliani, baadaye ikawa a Mormon Romney Vs Huckabee, sasa imekuwa Hillary Vs Obama, kumbuka ni hao hao CNN walio onyesha kipindi cha Obama for at least 2 Hours, wakimuita Osama, walipoambiwa baadaye what they did wakasema walikuwa wakikosea kwenye typing, kweli una amini hiyo?
CNN hawachagui rais wa US, na wala hawawakilishi mwananchi yoyote maana wangekuwa basi Kerry na Gore wangekuwa marais, polls za New Hampshire zinaonyesha ikiwa imebakia siku mbili tu, Hillary 37%, na Obama 25%, lakini CNN wanasema Obama is closing the gap! Huoni kuwa hii ni hadithi ya biashara?
When Iowa, talks, sio kweli kwamba the US listens, mara ya mwisho Democrat aliyeshinda Iowa, alikuwa Kerry 2004 lakini hakuweza kuwa rais, kabla yake alikuwa Jimmy Carter peke yake ndiye aliyeshinda urais mwaka 1976, my point ni kwamba tuwe objective katika hope kwamba huenda Obama atashinda, tungependa ashinde lakini sio on a false hope kutoka CNN ambao hawana any influence katika kuchagua rais wa US!
Hizi polls nishaacha sana kuziamini, maana ukiangalia Polls za Rasmussen zinaonyesha Obama yuko mbele ya Mama Clinton
Reuters/C-SPAN/Zogby poll Mama Clinton 32%, Obama 28%
Alafu kama umesoma ile post ya Now Comes the Spin, utaona kama vyombo vya habari vimemkamia Mama Clinton(sijui amewafanya nini).
Kwa Dems hali ni ngumu. Mweusi au Mwanamke...swali linakuja US hiko tayari for that?