Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

Kwa nini Wao wanamapinduz wa kijeshi walishindwa kudondosha ndege ambayo Erdogan alikuwepo na ilikuwa pembeni yao?hilo ni Fumbo Mapinduzi Marubani Alikuwa Erdogan Ndege Katika vituko yao na hawakufanya kitu 1 na Tyler Durden Jul17,201611: 18pm HISA NIO Kuangalia nyuma katika walishindwa Kituruki mapinduzi ya kijeshi, swali moja kwamba hakuna imekuwa na uwezo wa kujibu ni kwa nini, kama mapinduzi ulikuwa kweli jaribio kubwa katika kuangushwa serikali, je waandaaji kufanya kwanza jambo kwamba mapinduzi ya kijeshi wamefanya tangu enzi na enzi: ama kukamata, au tu kuondoa mtawala zilizopo, rais vacationing Erdogan?
Umetafsiri kwa kutumia Google Translate? hivi hii haujaijua bado kwamba inapoteza maana?
 
Kwa nini Wao wanamapinduz wa kijeshi walishindwa kudondosha ndege ambayo Erdogan alikuwepo na ilikuwa pembeni yao?hilo ni Fumbo Mapinduzi Marubani Alikuwa Erdogan Ndege Katika vituko yao na hawakufanya kitu 1 na Tyler Durden Jul17,201611: 18pm HISA NIO Kuangalia nyuma katika walishindwa Kituruki mapinduzi ya kijeshi, swali moja kwamba hakuna imekuwa na uwezo wa kujibu ni kwa nini, kama mapinduzi ulikuwa kweli jaribio kubwa katika kuangushwa serikali, je waandaaji kufanya kwanza jambo kwamba mapinduzi ya kijeshi wamefanya tangu enzi na enzi: ama kukamata, au tu kuondoa mtawala zilizopo, rais vacationing Erdogan?
Haya mkuu ngoja tu nijitaidi nisome ya English. Hii ni zaidi ya kilugha.
 
Hiyo coup ni ya kweli kwa sababu hata majeshi waliyokimbilia greece na helicopter wanekamatwa na kuhukumiwa!
 
Kuhusu urusi si kweli ndiyo iliyompa taarifa erdogan ila nachosikia kupitia aljazeera ni mmoja wa commander ambae haku asi ndiyo aliyewahi kumjulisha akiwa erdogan hotelini akimbie alipo nje iko kwenye mapinduzi baada ya dakika chache hoteli aliyekuwa erdogan ikaripuliwa
 
Duh! kweli Dunia hii kuna maajabu na watu wa ajabu sana! Kwa hiyo Habari nyingine za Urusi siyo za ukweli ila ulizosikia Al jazeera ndiyo za Ukweli?
 
Why coup failed? Because the citizen fought and defended their country from the orchestrated coup.

The real reason they made Isis is to overthrow the Al Assad government, which is far less abusive than the Saudi government of its own people.

But Saudi Arabia entered into a deal to create a pipeline to Europe. One problem... Syria is in the way to create a pipeline to Europe and supported by Russian government. Thus, the USA wants Syria out of the way. So they armed everyone, called up all the mercenaries and paid terrorists... paid them big bucks to remove Al Assad from power. Only, they didn't do it because of Russia.

So, they simply dropped into Iraq and formed their own state in the name of "Islam" but their actions aren't based on any religion principle... took over the oil and started selling it and murdering anybody that stood in their way. No sanctions from the USA on those USA allies buying that oil by the way.

Now imagine if someone did this to the USA. But the exceptional USA is world's largest hypocrite and war monger. And Turkey is already experiencing the hypocrisy of USA and western European countries.

I assure you, this is not a laughing matter, real people are really being murdered by the actions of the USA, and it most certainly Isis a crime against humanity... what Washington has done.

Real people?????????? Ndio akina nani hao?????
 
Erdogan: Will do everything for stability of Turkey
Mambo aljazeera wengine wanasindikiza!
 
Link inanisumbua kuituma mahojiano live aljazeera na erdogan rais wa uturuki ila kwenye app ya aljazeera news ipo hakuna suala la urusi kumpa taarifa erdogan
 
Kuhusu urusi si kweli ndiyo iliyompa taarifa erdogan ila nachosikia kupitia aljazeera ni mmoja wa commander ambae haku asi ndiyo aliyewahi kumjulisha akiwa erdogan hotelini akimbie alipo nje iko kwenye mapinduzi baada ya dakika chache hoteli aliyekuwa erdogan ikaripuliwa

Aljazeera usiamini sana, ina mwelekeo wa West...kila habari iangalie kwa macho makali...wengine wanasema ni fake coup...hii yote ni propaganda lakini kwenye intelligence circles wenyewe wanajua what real happened...In my view, uwezekano ni mkubwa Russia iliharibu deal la Western powers kumuangusha huyo Erdogan...na deal hilo limefeli...USA, kwa maoni yangu, ni lazima inahusika kuandaa coup hiyo...Erdogan hapendwi na Marekani kwa sababu wanamuona kuwa haaminiki...
 
US atake kula kichwa cha mtu afu afeli ndani ya masaa 6?! acheni masihara basi! ebu muulizen ghadafi na sadam ndo atawapa habari za US, au hamuoni syria US anavyokisaka kichwa cha al-assad?! urusi msimamo wake anamuunga mkono assad wakati US anataka kichwa cha assad, pale syria hapatakalika hadi assad aondoke madarakani sababu marekani ndo anataka hivyo. afu leo mnakuja na story eti yale mapinduzi uchwara yamesukwa na US! aah wapi US huwa anahakikisha mission imekamilika ndo anaacha.
 
Mbona Assad hajaondoka miaka zaidi mitatu sasa
 
Back
Top Bottom