Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Habari zilizopatikana hivi punde zinasema kwamba Intelijensia ya Urusi ilimshtua Raisi wa Uturuki Teyyip Erdogan dakika za mwisho kabla ya Mapinduzi kuanza kufanyika, MIT ambayo ni intelijensia ya Uturuki ilipokea intel ktk Intelijensia ya Urusi dakika za mwisho na hivyo kumfanya Erdogan naye ajipange na ndicho kilichomponyesha!
Hao ndiyo Wazungu bhana kumbe walikuwa wana mpango wa kumuua jamaa Erdogan, sasa nina wasi wasi sana D.Trump kama atapona, hii smear campaign ya media wanayomfanyia siyo ya kawaida!

Naona vita kubwa ya wenyewe kwa wenyewe inakaribia huko Uturuki kwani USA tayari ameshaanza kuhoji uanachama wa uturuki NATO, wkt huo huo Erdogan naye anasafisha takataka zote zilizohusika kwa namna moja au nyingine na jaribio la Mapinduzi hayo!

Tayari raisi Erdogan ameshatangaza hali ya hatari nchini humo kwani coup nyingine inapikwa, kazi ipo!

Raisi T.Erdogan wa Uturuki akitangaza hali ya hatari kwa kuhofia jaribio lingine, izingatiwe kwamba Meli za kivita 4 za Uturuki zimekimbia na zimepotea pmj na Wanajeshi wake!
82178155-600x378.jpg

Farsnews
 
Erdoqan's Dirth Dangerous ISIS Games More and more details are coming to light revealing that the Islamic State in Iraq and Syria, variously known as ISIS, IS or Daesh, is being fed and kept alive by Recep Tayyip Erdogan, the Turkish President and by his Turkish intelligence service, including MIT, the Turkish CIA. Turkey, as a result of Erdogan's pursuit of what some call a Neo-Ottoman Empire fantasies that stretch all the way to China, Syria and Iraq, threatens not only to destroy Turkey but much of the Middle East if he continues on his present path.
 
Back
Top Bottom