Uroho mwingine bana!

Mwenyeji: karibu
Mgeni: Asante
Mwenyeji: utakunywa chai au juice?
Mgeni: ntakunywa chai nikisubiri juice

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Heee jamani sasa uroho wake nini ilhalu kakaribishwa

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
hapo nimeona kama kuna "au" mwenyeji alikuwa ana maana hapa
ukumbuke kuwa mwenyeji keshasema vitu viwili ambavyo ana access navyo, kwa hiyo vipo vyote bila shaka yaani chai ipo na juice ipo, sasa mgeni kama ana uwezo wa kula vyote kwa nini asiagize vyote jamani
 
Angesema aletewe vyote kwa pamoja ndo tungesema jamaa ni mroho,ila nae katumia ustaarabu kasema aletewe chai wkt akisubiri juice!
 
Heee jamani sasa uroho wake nini ilhalu kakaribishwa

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

ina maana juice ndio kitu cha tayari kiliopo kwenye fridge, na chai ndio mwanzo ibandikwe motoni hivyo hawezi anza kwa chai. Isitoshe ameambiwa achague moja kati ya viwili sio vyote, njaa zake apeleke kwake
 
Mwenyeji alitaka mgeni wake achague Kimoja na vyote vipo tayari, hakuna cha kusubiriwa hapo..
So njemba ingechagua moja na sio chai huku akisubiri juice....khaa!!!kuna wenzio pia wanakuja!
 
dawa ndio hiyo unajifanya kuuliza vitu 2 we kama ni juic leta juic kwanin uulize huenda ni asubuh dat y mshkaj akastart na chai
 
Back
Top Bottom