Inasikitisha kuona hajamwachia kitu mke wa pili Winnie Mandela lakini amemwachia Graca Michael nyumba nne ambazo zipo mozambique ambazo wanazimiliki, magari na dhahabu zote alizomununulia pamoja na kuwapa watoto wake wawili wa kufikia ambao Graca Michael alizaa na Marehemu mumewe aliyekua Raisi wa Mozambique Samora michael kila mmoja £165,000.00.
Haisikitishi kutomwachia kitu Winnie......usaliti alofanya Winnie ktk ndoa ile teyari huo ndo mgao wake, na winnie anavgoendelea kutumia jina la Mandela ni kashfa kubwa kwa mwana wa africa.
First lady kuwa na vi-serengeti boy umri wa watoto wako huku ukiwa ni mama wa taifa ni fedhea kuu kwa jamii ya Africa......lets say leo hii (kumradhi) mama maria awe na vijitoto sawa na akina makongoro ( tena makongoro keshazeeka ) Ni kashfa si kwa familia ya mwalimu tu bali jamii ya kitanzania kwa ujumla wake
Simpendi sana mandela maana alikubaliana na wazungu kwa kuwasaliti waaafrika, kimsingi tatizo la ukaburi ameliacha kwenye uchumi ambao ndo dili, baada ya kuondosha lile la kisiasa, yaani madiba kafanya makosa yale yale, kulewa sifa za wazungu. Mbona nyerere hawamshabikii sana maana alikuwa sumu kwao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.