Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Thread reeefu ila halina sehemu ilioandikwa kuwa unaezJe kutibu. Inafundisha lakini jinsi ya kujikinga nayo
Nahitaji msaada wa dawa nzuri ya tatizo la mkojo mchafu(UTI) kwa maana nimetumia dawa nyingi za hosptali bila mafanikio.
Hakuna UTI sugu sema hujajua chanzo cha hiyo UTINahitaji msaada wa dawa nzuri ya tatizo la mkojo mchafu(UTI) kwa maana nimetumia dawa nyingi za hosptali bila mafanikio.
fanya uchunguzi yakinifu ujue chanzo cha uti
hakuna uti sugu sema hujajua chanzo cha hiyo uti
mkuu weza fafanua kuhusu vynzo vyake
Dawa ya mwisho kutumia ilikuwa ni sindano zinazoitwa ceftriaxone(powercef) sindano tano lakini bado mkojo mchafu.