MNDEE
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 491
- 68
On a serious note..kunywa PELOX. Itakutosha.
Ila......magonjwa haya aghalabu huwapata wanaume. Au una kale ka tabia ka kutembelea maungo yasiyotamkika hadharani ya maumbile ya nyuma ya mwanadamu......
Just in case ukapitiliza.....mpe salaam kambarage. Muhabarishe aje amchukue Ghadafi maana anapewa kipondo left right and centre
Hii para yako ya mwisho imenivunja mbavu, Nyerere akitajiwa Ghadafi atakasirika hajasahu vita ya Uganda, labda amuandalie sehemu Hosn Mubaraka afya imekuwa mgogoro.