Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

lipa hiyo ya vipimo then nenda pharmacy yoyote kubwa kanunue dawa za UTI andaa kama 10,000
 
Leo nimepima mkojo na choo nimekutwa nina maambukizi ya urinary tract infections (UTI). Kwa kweli mwenzenu nina maumiv makali sana ya mwili na sehemu za siri. Tatzo n kwamba: nimepima hapa Marie stopes-Mwanza na gharama ya dawa nambiwa tsh 35,000 halafu vpimo sh 12,700. Nimeomba niandikiwe dawa nkatafuta kwingine hawataki, uwezo wa kulipia hzo dawa mie sina,
naomba ushauri ndugu zangu nifanyeje au nitumie dawa gani nipone mapema kwani maumivu ni makali sana sehemu za siri na choo hamna infection. I'm MALE.

Pole.Tumia dawa hii PELOX ni nzuri sana.Dozi ni vidonge 10 kidonge 1 kutwa mara 2. Bei ya dozi ni Tsh.3900/= tu!
 
Pole sana mkuu,

Tumia tiba ifuatayo:
1. Paracetamol(panadol) 500mg mara tatu kutwa
2. Inj. Gentamicin 160mg i.m twice daily for 5 days
(kama unaogopa sindano then otpion kwa namba 2. ni Tabs Nitrofurntoin(Furadantin) 100mg BID for 7 days. BUT: nakushaui uende kwenye Pharmacy (sio duka la dawa baridi) a good pharmacist wil be able to assist you with new drugs that are better and more efficacious. Wengine tulipita huko mwaka 47 enzi za rangimbili
 
lipa hiyo ya vipimo then nenda pharmacy yoyote kubwa kanunue dawa za UTI andaa kama 10,000

Halafu uepule kusogelea sana chamber za kukojolea wakati unaenda haja ndogo, take care sana hasa wakati umelewa kama wewe ni mnywaji, mimi niliwahi kumkuta mlevi mmoja anakojoa na amelilalia kabisa kile kisehemu cha kukojolea halafu ni choo cha public! Mwisho anamaliza annajikung'utia hapohapo kwa kugongesha kiungo chake kwenye kitundu cha kukojolea! Unaondoka na ugonjwa wa ajabu hapo ukifika nyumbani ndoa hamna tena!
 
Pole sana mkuu,

Tumia tiba ifuatayo:
1. Paracetamol(panadol) 500mg mara tatu kutwa
2. Inj. Gentamicin 160mg i.m twice daily for 5 days
(kama unaogopa sindano then otpion kwa namba 2. ni Tabs Nitrofurntoin(Furadantin) 100mg BID for 7 days. BUT: nakushaui uende kwenye Pharmacy (sio duka la dawa baridi) a good pharmacist wil be able to assist you with new drugs that are better and more efficacious. Wengine tulipita huko mwaka 47 enzi za rangimbili

ahsante mkuu
 
Leo nimepima mkojo na choo nimekutwa nina maambukizi ya urinary tract infections (UTI). Kwa kweli mwenzenu nina maumiv makali sana ya mwili na sehemu za siri. Tatzo n kwamba: nimepima hapa Marie stopes-Mwanza na gharama ya dawa nambiwa tsh 35,000 halafu vpimo sh 12,700. Nimeomba niandikiwe dawa nkatafuta kwingine hawataki, uwezo wa kulipia hzo dawa mie sina,
naomba ushauri ndugu zangu nifanyeje au nitumie dawa gani nipone mapema kwani maumivu ni makali sana sehemu za siri na choo hamna infection. I'm MALE.

Pamoja na kutumia dawa za UTI,jitahidi kunywa maji mengi siku zote ndugu.
 
Leo nimepima mkojo na choo nimekutwa nina maambukizi ya urinary tract infections (UTI). Kwa kweli mwenzenu nina maumiv makali sana ya mwili na sehemu za siri. Tatzo n kwamba: nimepima hapa Marie stopes-Mwanza na gharama ya dawa nambiwa tsh 35,000 halafu vpimo sh 12,700. Nimeomba niandikiwe dawa nkatafuta kwingine hawataki, uwezo wa kulipia hzo dawa mie sina,
naomba ushauri ndugu zangu nifanyeje au nitumie dawa gani nipone mapema kwani maumivu ni makali sana sehemu za siri na choo hamna infection. I'm MALE.

mkúu,dawa zipo nyingi lakini ni bora ukatumia hizi PELOX(PEFLOXACIN)
 
Eti hz dawa zitanisaidia:
Duocotecxine 3*3*3
Diclofenac 1*3*7. Hayo ni maelezo ya nesi wa duka la dawa.
Msaada: vp nkinywa na hzo Pelox itakuwaje?
 
Pole mkuu,watu wamejitahidi kukupa majibu kama nesi kakueleya kivingine basi search google ili uwe na uhakika wa dawa ya kutumia,mie siendagi hosp nina gøogle na kujitibu mwenyewe
 
On a serious note..kunywa PELOX. Itakutosha.
Ila......magonjwa haya aghalabu huwapata wanaume. Au una kale ka tabia ka kutembelea maungo yasiyotamkika hadharani ya maumbile ya nyuma ya mwanadamu......
Just in case ukapitiliza.....mpe salaam kambarage. Muhabarishe aje amchukue Ghadafi maana anapewa kipondo left right and centre
 
Ha ha haaaa Choka samahani umenifanya nikacheka kwenye jukwaa serious! In case akipitiliza afanyeje?
Nikirudi kwa mgonjwa...though sina uelewa mpana sana kwenye tasnia ya utabibu lakini naona michango ya bandugu waliotangulia ina degree hivyo ni imani yangu km ni mtu wa kujifunza umepata chako...eeh bwana!
 
Leo nimepima mkojo na choo nimekutwa nina maambukizi ya urinary tract infections (UTI). Kwa kweli mwenzenu nina maumiv makali sana ya mwili na sehemu za siri. Tatzo n kwamba: nimepima hapa Marie stopes-Mwanza na gharama ya dawa nambiwa tsh 35,000 halafu vpimo sh 12,700. Nimeomba niandikiwe dawa nkatafuta kwingine hawataki, uwezo wa kulipia hzo dawa mie sina,
naomba ushauri ndugu zangu nifanyeje au nitumie dawa gani nipone mapema kwani maumivu ni makali sana sehemu za siri na choo hamna infection. I'm MALE.

Je wewe ni mwanafunzi wa bweni au uko kwa wazazi au uko tu mtaani au vp? Mpaka ufikie hatua ya kuwaomba wana JF msaada wa Tshs 35,000. Mbona gharama hizi ni extra ordinary ndugu yangu?

Jana tarehe 26/4/2011 nimempeleka binti yangu kupima widal test pamoja na mkojo ni Tshs 4500/- baadaye akagundulika ana U.T.I na gharama za dawa jumla zikawa Tshs 5500/- jumla 10,000/=

Mimi napata shida na hizo gharama zako mbona wewe kubwa sana ? na kama ulijua huna hela kwa nini ulienda hospitali ya bei mbaya badala ya maabara ndugu yangu.

Nina wasiwasi na hizo bei za dawa siyo ghali hivyo ndugu yangu.
 
Marie Stop wapo kibiashara zaidi, dawa za UTI hazifiki gharama hiyo, na vipimo itakuwa wamekupima magonjwa mengi mengi ili wakugonge gharama kubwa. Mi nilishapata UTI lkn nilijitibu kwa gharama ndogo sana. Ushauri uliopewa na wanajf ukiufuata wala hizo 35,000/= hazitakutoka.
 
pamoja na dawa...kunywa maji mengi sana...hata lita tano ukiweza ni dawa nzuri ya UTI

Puuuuuu!

Maji ndugu yangu, Maji! Pamoja na dawa za wakuu waliochangia, maji ndio kimbilio la kwanza ili usafishe njia ya mkojo na hasa kwenye kibofu hao wadudu na mazalia yao watoke. Hakikisha unachapa maji ya ukweli kuanzia asubuhi isipungue lita moja na nusu ndani ya kama dakika 15, then unaweka pozi kama lisaa hivi then ni maji kila ukitoka kukojoa na isiwe chini ya nusu lita mpaka unaenda kulala ndio waweza pumzika, nakuhakikishia ndani ya hiyo siku moja utaanza kupata nafuu. Ukiendelea hivyohivyo ndani ya siku 3 ugonjwa kwishneeee....ila tahadhari kuhusu sehemu za kukojoa public kama alivyokuasa mchangiajo na kamchezo ka kwenda kwenye matope tena pekupeku looooo!!

Braza kua muangalifu kama unataka kuendelea kuishi na kuhitaji baraka toka kwa Mola wako!
 
Leo nimepima mkojo na choo nimekutwa nina maambukizi ya urinary tract infections (UTI). Kwa kweli mwenzenu nina maumiv makali sana ya mwili na sehemu za siri. Tatzo n kwamba: nimepima hapa Marie stopes-Mwanza na gharama ya dawa nambiwa tsh 35,000 halafu vpimo sh 12,700. Nimeomba niandikiwe dawa nkatafuta kwingine hawataki, uwezo wa kulipia hzo dawa mie sina,
naomba ushauri ndugu zangu nifanyeje au nitumie dawa gani nipone mapema kwani maumivu ni makali sana sehemu za siri na choo hamna infection. I'm MALE.

Pole sana! Hao jamaa wanacomplicate ur matter,they are completely doing business. UTI's are simply treatable at a very normal cost! Guy,embu nenda Bugando utapata tiba ya kwaida tu na kupona mapema kabisa...........in addition,kunywa maji ya kutosha to frequently empty ur bladder!
 
lolongo za kibongo bana, mtu kaomba asaidiwe aina ya matibabu/dawa wewe unakwenda kumshauri aende Bugando kwani alikuambia hapajui huko bugando wakati anakwenda marie stopes
 
Eti hz dawa zitanisaidia:
Duocotecxine 3*3*3
Diclofenac 1*3*7. Hayo ni maelezo ya nesi wa duka la dawa.
Msaada: vp nkinywa na hzo Pelox itakuwaje?

Huyo nesi anafanya biashara.ndugu Tumia PELOX tu itakutosha utapata nafuu haraka na kupona kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom