Urgent; Mbunge wangu Selasini Joseph, naomba contacts zako please

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Sina hakika kama unatembelea jukwaa hili, lakini naomba kama upo, au kama kuna mtu mtu nazo namba zake au email yake, please aiweke hapa, au aniPM, nataka nijadiliane nae mambo machache juu ya Jimbo letu la Rombo, hasa maji na umeme. Please, this is urgent...
 
Back
Top Bottom