Urgent:job opportunities world vision tanzania:

Asante ila tukiomba hata kuitwa hatuoni tukiitwa au kuonesha wale walioitwa. Fanyeni hivyo basi ili kuondoa hali ya kutoaminika kwa NGOs nyingi kuajiri ki undugu zaidi.
 
Usikate tamaa kuendelea kutuma maombi,hasa kwa nafasi amabazo unakizi viwango vyote hitajika. Tunapokea maombi mengi kiasi kwa kila nafasi inayotangazwa na ni kazi kuuita kila muombaji katika usaili.Ila fahamu tunasamini sana maombi yako.
 
Asnt sana hyo store assistant inanihusu na vigezo ninavyo ila nisipopata ntakulaumu sana maana sioni sababu ya kunikosesha
 
Mkuu inafanya kazi,tuma Cv pekee bila attachments zozote itatufikia.
Mdau naona uko jikoni, Ni kweli email inafanya kazi. Na mimi njimeshaaply post ya Livelihood Manager-Kigoma/Tanga. Nilikuwa nauliza kwa post hiyo salary ina range kiasi gani.?? au ni makubaliano..
 
Mdau naona uko jikoni, Ni
kweli email inafanya kazi. Na mimi njimeshaaply post ya Livelihood
Manager-Kigoma/Tanga. Nilikuwa nauliza kwa post hiyo salary ina range
kiasi gani.?? au ni makubaliano..

Mkuu kilicho bora ni ku apply, kufanya interview, ukipata uta compare na current salary yako, ukiona ndogo, unaendelea na kazi yako...
 
Nimefurah Jins watu wa IT WVT mlivyo anza mfumo wa kujibu waswala mbalimbali humu. Hakika WVT inaanza kunivutia. VIP ZILE NAFASI ZA INTERNSHIP ARUSHA bado zipo nitume maombi
Usikate tamaa kuendelea kutuma maombi,hasa kwa nafasi amabazo unakizi viwango vyote hitajika. Tunapokea maombi mengi kiasi kwa kila nafasi inayotangazwa na ni kazi kuuita kila muombaji katika usaili.Ila fahamu tunasamini sana maombi yako.
 
Nimefurah Jins watu wa IT WVT mlivyo anza mfumo wa kujibu waswala mbalimbali humu. Hakika WVT inaanza kunivutia. VIP ZILE NAFASI ZA INTERNSHIP ARUSHA bado zipo nitume maombi

Mkuu tunashukuru kwa pongezi hizo hilo na tutaendelea kufanya hivyo.Internship deadline ilikiwsha pita na usahili ni tarehe mwezi huu.Endelea kufatilia page yetu hii tutatangaza zingine mwanzoni mwa mwezi wa pili.Tembelea pia https://www.facebook.com/WVTcareers na WORLD VISION TANZANIA CAREERS
 
Urgent Career Opportunities World Vision Tanzania:
Livelihood Manager-2 Positions
Livelihood Facilitator-4 Positions
Procurement Analyst
Stores Assistant
For Details and how to apply visit our career blog at WORLD VISION TANZANIA CAREERS

Punguzeni utapeli! World Vision gani ina blog haina hata logo inayojulikana? Alafu eti kweli World Vision wanaweza kufungua account ya recruitment JF? Huu utapeli bong mpk lini?
 
Punguzeni utapeli! World Vision gani ina blog haina hata logo inayojulikana? Alafu eti kweli World Vision wanaweza kufungua account ya recruitment JF? Huu utapeli bong mpk lini?
Mkuu JF sio sehemu ya platform ya Social Recruitment?nahakika sio sahihi kuona World Vision inatumia JF account ionekane sio sahihi.Kwetu tunatambua umuhimu wa JF kama nji bora ya kuwafikia walengwa wetu husika(Potential Candidates)Tunaomba wapenzi wetu muendelee kusoma matangazo ya kazi hapa na kutuma maombi yenu kwa e-mail yetu rasimi ya recruit_wvt@wvi.org
 
Mkuu kilicho bora ni ku apply, kufanya interview, ukipata uta compare na current salary yako, ukiona ndogo, unaendelea na kazi yako...
Wewe ----- nini..aaaaah.,jokes! Issue ni kwamba range ni shillingi ngapi? kwahiyo post..chek kwenye salary scale zenu hapo..!!Nilipataga post fulani usahili ulikuwa pouwa tukashindwa kukubaliana salario..but nikabushiit ikawa imekula kwangu kutokana na maandalizi kabla ya interview..usafiri,accomodation, na tym so kama mdau wa jikoni be straight to tha point, acha siasa...Cheers
 
wvt mpo kindugu na kichuo sana yaani kuna mwaka mlisha wahi weka chuo X kisiombe nafai fulani ya kazi so hebu badilikine angalieni uwezo wa mtu binafsi, vinginevyo hamtoaminika kama magamba, maana mnasikitisha ila nafahamu malengo yenu ni mazuri kwa jamii yetu ya Tanzania. that all
 
ivi ni kwani mkuu m2 akisha fanya kazi na ninyi na kuachana na ninyi kwa amani ampendi kumpa kazi tena akirudi hata km anafiti iyo post na certificates of service zenu mlimpa? Au sera zenu ni rotation, only new membez, ukisha imba pambio na sharom asubuhi hutakiwi tena?
 
Wakuu wa WVT kama bado cjapata vyeti vya chuo ila sifa ninazo na nina provisinal results mtaniconsider?
 
Wakuu zile ajira za Livelhood Facilitator/Manager mzizo tangaza bado hamja shortlist?? Alaf naskia mmetoa za Df hebu tuwekeeni hapa
 
Asante ila tukiomba hata
kuitwa hatuoni tukiitwa au kuonesha wale walioitwa. Fanyeni hivyo basi
ili kuondoa hali ya kutoaminika kwa NGOs nyingi kuajiri ki undugu
zaidi.

Hawa jamaa waliwahi niita kwenye interview ofisi za Arusha. wapo vizuri sana ingawa sikupata nafasi ya kazi walirudisha nauli.
 
mfa maji haachi kutapa, mgagaa na upwa hali wali mkavu. tusikate tamaa jamani tukaze buti ipo siku tutafanikiwa
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom