juzi juzi nilisoma comments za mtu mmoja humu akilaumu recruitment process ya TRA na akaisifia ya tume ya utumishi...akaenda mbali na kusema eti process za kuajiri za TRA zipelekwe utumishi..NIKAMSHANGAA MPAKA NIKAMUOGOPA. ukilinganisha na taratibu za mashirika mengi ya umma bado TRA wana unafuu kidogo pamoja na magumashi yao-kama yapo.Wakubwa ni bora ajira ingeenelea kutolewa kwenye kila taasisi maana usanii wa utumishi unatisha kwanza wao wenyewe hawana sifa za kumuiterview mtu ila wamejaa husuda tupu
juzi juzi nilisoma comments za mtu mmoja humu akilaumu recruitment process ya TRA na akaisifia ya tume ya utumishi...akaenda mbali na kusema eti process za kuajiri za TRA zipelekwe utumishi..NIKAMSHANGAA MPAKA NIKAMUOGOPA. ukilinganisha na taratibu za mashirika mengi ya umma bado TRA wana unafuu kidogo pamoja na magumashi yao-kama yapo.
Kifupi wengi huwa wepesi kulaumu na wakati mwingine hatujui hata undani wa mambo. Taratibu za kuajiri za mashirika mengi ya umma si nzuri. Tena ukiwa competent,kwa utaratibu wa tume ya ajira utafeli tu...afadhali hata TRA au BOT,kama uko competent utaonekana tu na unaweza kupata ajira pamoja na hayo magumashi yao yanayolalamikiwa.[/QUOTE
nasikia kichefuchefu hapa nilipo
juzi juzi nilisoma comments za mtu mmoja humu akilaumu recruitment process ya TRA na akaisifia ya tume ya utumishi...akaenda mbali na kusema eti process za kuajiri za TRA zipelekwe utumishi..NIKAMSHANGAA MPAKA NIKAMUOGOPA. ukilinganisha na taratibu za mashirika mengi ya umma bado TRA wana unafuu kidogo pamoja na magumashi yao-kama yapo.
Kifupi wengi huwa wepesi kulaumu na wakati mwingine hatujui hata undani wa mambo. Taratibu za kuajiri za mashirika mengi ya umma si nzuri. Tena ukiwa competent,kwa utaratibu wa tume ya ajira utafeli tu...afadhali hata TRA au BOT,kama uko competent utaonekana tu na unaweza kupata ajira pamoja na hayo magumashi yao yanayolalamikiwa.
Dah, ingekua taasisi, ningekwisha ajiriwa by nw, ngoja 2subir intaview za kazi zilizotangazwa juz kati.
Utumishi wenyewe mbona hawajaita interview hadi leo ndugu, mbona hujionei huruma au una kazi nini mwana!! Wenzio hatuna kazi tangu tumetoka chuo. Utumishi hawafai kabisa kufanya hii kazi.
Bora wapewe ata internation recruiters ambao hawamju Kilahunja wala kimboko tungepata hizo ajira. Alafu Ajira zenyewe wanaweka masharti kibao, kaangalie Mshahara wenyewe utatamani kumpiga mtu makofi!!!
Wakubwa ni bora ajira ingeenelea kutolewa kwenye kila taasisi maana usanii wa utumishi unatisha kwanza wao wenyewe hawana sifa za kumuiterview mtu ila wamejaa husuda tupu