uranium

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
mi nashangaa hao viongoz wawil waliopita kutawala bush na clinton wamekuja fanya nn? Et clinton kaja kufungua kadispensar yan ni kadogo kuliko nyumba ya mzee wangu! Mi nahis uranium iliyoko ukanda wa kat dodoma is a reason for their ziara! Am i right
 
Watanzania poleni! Madini yetu yanaporwa bila aibu! tena siku moja nilimsikia Mkapa akitamba kuwa Tz inafaidika na kukusanya kodi ya PAYE kwa wafanyakazi walioko kwenye madini! Watanzania tuna bahati mbaya ya kuchagua viongozi wasio na fikra! tena wanafanya haraka kuingia kwenye mikataba yenye maslahi kwa viongozi tu, tena wanasema ni siri!
 
Kama Uranium wachukue ila tuu sisi mikataba itakayowaruhusu kuchukua madini hayo iwe ya kutunufaisha wananchi!

Kwa sis kutumia Uranium tunataka tuuane tuu hapa: What are we going to do with nuclear waste wakati household waste leo hii inatushinda kuishughulikia kikamilifu!!!????
 
hapo umenena bro! I got u hw about kuuza yote bila kuweka akiba na unajua kua sayanc na technolojia inakua 2takuja kutumia baadae
 
Hivi Bush ana % ngapi kwenye kile kiwanda cha vyandarua pale arusha/Kisongo?
 
afadhali urenium wanunue wamarekani. kama wanakuja kufanya dili ili tuwauzie madini au waje kuchimba madini yetu kwa mikataba itakayotunufaisha na sisi kwani kuna tatizo gani hapo? shida yako ni wamarekani au ni urenium? sisi wengine tunawapenda wamarekani, sio wote wana mawazo kama yako.
 
Watanzania poleni! Madini yetu yanaporwa bila aibu! tena siku moja nilimsikia Mkapa akitamba kuwa Tz inafaidika na kukusanya kodi ya PAYE kwa wafanyakazi walioko kwenye madini! Watanzania tuna bahati mbaya ya kuchagua viongozi wasio na fikra! tena wanafanya haraka kuingia kwenye mikataba yenye maslahi kwa viongozi tu, tena wanasema ni siri!

Huyo jambazi aliyeuza NBC kwa bei ya peremende. Siku zake zinahesabika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom