RedDevil
JF-Expert Member
- Apr 30, 2009
- 2,368
- 1,518
Tatizo lenu hamtaki viongozi wawaongoze, mnataka muwaongoze ninyi. You always come up with so many theories of your own.
Hahahahah! Viongozi nao wanapewa kibano toka kwa wabaka uchumi, wananchi wanaona viongozi wanaibia nchi, viongozi wanaomba misaada then wanakutana na masharti kama hayo (tutakupa dola mil 700 za kujenga miradi ya umeme lakini tupe uranium, dhahabu na ruhusu kampuni zetu kuwekeza kwako). Viongozi wanasema "yes Mr President"!